MAREHEMU MZEE DAMIANO F. KAVISHE

Baba yetu mpendwa, umetimiza miezi mitano tangu ututoke.
Unakumbukwa sana na Familia yako, ndugu jamaa na marafiki.
Sisi tulikupenda sana Lakini Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi.
Raha ya Milele umpe ee Bwana
na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa Amani.
AMINA.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. RIP Kada mwenzetu na jina la Bwana lihidiwe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    RIP Mzee Kavishe, ni njia yetu wote

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2010

    RIP mzee.Bwana alitoa na bwana ametwaa.jina lake liibidiwe.Amina.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2010

    Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi,.pumzika kwa amani Mzee K.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2010

    Poleni sana, sijui nimemfananisha au ndo yeye, si alikuwa anaishi area c dodoma? Waliwahi kuwa jirani zetu kikuyu flats, Fides, Feli, Chifu, Mama na wote poleni sana jamani.

    ReplyDelete
  6. I’m Happy You're My Dad

    I feel safe when you were with me;
    You taught me about the LIFE;
    I've grown up with your values;
    You make my life much better;
    Without you, Dad, I wouldn't be
    The man I am today;
    The best father I know is you.
    I will never failed you;


    And so I want to say, again and again
    I love you, Dad, and wish you
    A HAPPY ETERNAL LIFE!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2010

    Rehema,chifu,Ema na Clara poleni sana jamani yote ni mapenzi ya Mungu shikamaneni kwa kila jambo na Mungu atawapigania. Mfikishien salamu zangu Mama Kavishe.
    I Family friend from Zanzibar!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2010

    Tunashukuru sana.
    Anonymous wa tarehe 23 Jul 05.15pm, kweli huyo ndio Mzee Kavishe aliokuwa anakaa Kikuyu flats na baadae kuhamia area C.
    Jina la Bwana Lihimidiwe. Apumzike kwa Amani. AMINA

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 24, 2010

    Mungu amlaze mahali pema Mzee wetu, Kada mwenzetu AMIN.
    Tumekuja kwa udongo tutarudi kwa udongo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2010

    Poleni sana. May God the greatest of all rest his soul in Eternal Peace.
    You left beautiful memories for your family n friends who will forever love,miss & remember you always.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...