
KARIBUNI NL INTERNET CAFE UJIPATIE HUDUMA SAFI YA INTERNET YENYE KASI ZAIDI (2Mbps) KUPANDISHA NA KUSHUSHA.
TUKO TABATA CCM KARIBU NA SHELI YA OILCOM,
TUKO TABATA CCM KARIBU NA SHELI YA OILCOM,
MANDHARI SAFI NA TULIVU KWA KAZI ZAKO ZA MTANDAONI
PIA TUNATENGENEZA CV ZA KISASA ZAIDI.
PIA TUNATENGENEZA CV ZA KISASA ZAIDI.
"Nl tuko kwa ajili yako leo na kesho"
--
KARIBU NL NETCAFE COMPUTER'S KWA
--
KARIBU NL NETCAFE COMPUTER'S KWA
HUDUMA BORA YA INTERNET YENYE KASI ZAIDI
2mbps!
aisee bongooo,aaaah kuna vitu vinachekesha sana,huu ndio wizi wenyewe au huyu aliyeweka tangazo hajui nini kinaendelea...eti 2Mbps wakati watu wa kawaida nchi fulani fulani wanatumia 10Mbps hii ni speed ya kawaida kabisa,hivi huo mkongo sijui mkonga wa mawasiliano unawasaidia nini?na huyu rafiki yangu eti tunatengeneza cv za kisasa nani kwakwambia kuna cv za kisasa na nani kwakwambia cv zina format?mmmmh shule hizi na kutembea kunasaidia,sikupondi ila next time fanyia uchunguzi mambo kabla ya kusema,huenda kwa tanzania 2Mbps ndio speed kubwa ila hilo la cv mmmmmh wizi mtupu.
ReplyDeleteKwa kuwa tuna cable sasa kwa nini hamuwezi kuwa na internet yenye uwezo wa 100 mbps (Japan, S.Korea, Singapore) au hata 50 mbps (Canada, USA). Inachukua muda sana kuangalia picha na 2 mbps. ISP raha.com walikuwa wanatangaza 5 mbps...mbona tunarudi nyuma?
ReplyDeleteAnkal, naomba nimsahihishe mdau aliyetuma ujumbe huu, ni kumwelewesha tu kuwa sheli(shell) ni kampuni ya kuuza mafuta kama oilcom, ijapokua shell ni zaidi ya oilcom. neno sahihi la kutumia badala ya sheli ni "kituo cha mafuta cha OilCom"
ReplyDeleteasante ankal
Nyie watu mpunguze ubuda. Yeye amezungumzia uwezo wa internet cafe yake yeye, na kama anafagilia 2 mbps, analinganisha na internet cafe zilizopo za Tanania. Wewe kama una uwezo wa kuanzisha internet cafe ya kutumia 100 mbps, go right ahead; au kama unaona speed yake ni too slow, nenda kwenye faster internet cafe. Hata Marekani hapa bado kuna dial up, lakini hamna mtu anayekulazimisha kutumia. Hilo tangazo ni kwa watu walio Tanzania, kama huitaji hiyo huduma, kaa chonjo!
ReplyDeleteanoy wa Fri Jul 02, 05:28:00 PM
ReplyDeletehehehe ni mwenyewe kajibu mashambulizi , tunakupa ushauri tu ndogo usikasirike , humu tunakosoana na kufahamishana na hamna zaidi
gud day
mdau kkoo
Acheni kujifanya mnajua saaaan...CV za kisasa anaelezea anachojua unataka kuziona nenda kaangalie huko kwenye net cafe yake
ReplyDeleteHighest internet Check hii according to the 2010 data..
1. South Korea : 14.6 Mbps
2. Japan : 7.9 Mbps
3. Hong Kong : 7.6 Mbps
4. Romania : 6.2 Mbps
5. Sweden : 5.7 Mbps
6. Ireland : 5.3 Mbps
7. Netherlands : 5.2 Mbps
8. Switzerland : 5.0 Mbps
9. Denmark : 4.8 Mbps
10. Czech Republic : 4.8 Mbps
.
.
.
. US 3.9Mbps average except kuna miji kama mitatu hivi average speed: 18.7Mbps hii ni Berkely, CA etc etc
Sasa yeye akiwa broadband ya average speed ya 2Mgps sioni ni ndogo sana kama mnavyoikandia
Get the facts right sio kuyup yup tu hapa mkiona mtu anajitahidi kwa ujasirimali kidogo mnaona wivu kweli ....why???