Skauti wakipandisha Bendera ya Taifa ikiwa ni Maandalizi ya Kuanza kwa Maonesho ya 36 ya Sabasaba yaliyoanza wiki hii jijini Dar es salaam
Wastaafu wakifuatilia kwa umakini namna ya kutumia Komputa kutafuta kumbukumbu zao katika banda la PPF kwenye Maonyesho ya sabasaba Dar es salaam: PPF inautaratibu wa kutumia njia ya Mtandao wa kupata taarifa mbalimbali za wastaafu.
Timu ya Maafisa toka Ofisi ya Bunge ikiwa katika picha ya Pamoja katika banda lao huko Sasasaba. Bunge la Jamhuri linashiriki katika Maonyesho hayo ambapo vitu kama Siwa ya Bunge, Joho la Spika, Historia ya Bunge, Shughuli na kamati za Bunge vinapatikana katika Banda hilo linalotazamana na banda la chuo kikuu cha Dar es salaam




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2010

    Je kupandisha bendera lazima uvue viatu?

    ReplyDelete
  2. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata saba saba online

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2010

    I c my boy Mathew Kileo.Me just admire u kaka mh...........

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2010

    Mbona vitambulisho vyetu vinaonyesha Maonyesha ya 34 wakati wee umeandika maonyesha ya 36??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2010

    Mhh! Ningetarajia kuona watumishi wa BUNGE wakiwa katika mavazi ya Kitanzania na siyo suti za wazungu! Uko wapi utanzania wetu jamani kama hata mavazi ya watumishi wa taasisi nyeti ya wa TZ tunaiga ya Ulaya!!??

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2010

    Hawa ni Skauti wa wapi bwanaa?? uliona wapi mtu anakumbuka kuvua viatu eti heshma wakati huo kaacha mtu pembeni anaongea kwenye simu!!!!! Nadhani hawa ni waigizaji tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...