Kaka Michuzi,
Shukrani sana kwa kazi unayofanya ya
kutujulisha mambo yanayoendelea
nyumbani.

Mimi pamoja na wadau wengine mainjinia wa hapa LA
na Hapo nyumbani, tumeunda lebeneke jipya la jamii
ambalo wadau wa zamani na mitaani au tangu shule za msingi waliopoteana
wanaweza kutafutana kirahisi wakijisajili.

Naomba unirushe kwenye blog ya jamii ili wadau wako waone
website hii mpya ya jamii. Website ni
www.wapehai.com
Shukrani
Mdau wa LA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2010

    www.wapehai.com mbona haipatikani tuki-google

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2010

    Copy and paste into the url box.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...