ankal na wadau wakiwa na manamuziki maarufu wa Jamaica, Sean Paul (kati) usiku huu mjini Sandton baada ya katua leo hapa sauzi akitokea morocco. yupo hapa kama msanii mwalikwa kwenye uzinduzi wa Big Brother All Stars ambapo nyota 14 toka nchi za idadi hiyo hiyo wataingia mjengoni kwa shindano la siku 91 kuanzia leo Jumapili jioni. Hadi sasa haijajulikana ni nani wataingia mjengoni kwa mtanange huo ambao mshindi anaibuka na kitita cha dola laki 200. Mwisho Mwampamba na Richard ndio nyota wanaodhaniwa mmoja wao anaweza krudi mjengoni. Na tusubiri baadaye tujue ukweli.

ankal si useme tu nawe ni mmjawapo wa kuwa kwenye big brother
ReplyDeletethumuni ya safari yako ni hipi kaka!! kaka kweli wewe si mpiga piga tu wa kawaida !! wenzako wanaganga njaa tu mitaani!! nasikilizia south africa na UK kwenye bomba tu !! hila wewe kila mara mara upo uk mara uwaarabuni mara bondeni !! duh . tupe siri ya mafanikiyo yako kaka??
ReplyDeletekaka mimi naomba interview humfanyie huyo aruna moshi! kwani mimi nahisi hule kijana anakula bangi !!
ReplyDeletethumuni ya safari yako ni hipi kaka!! kaka kweli wewe si mpiga piga tu wa kawaida !! wenzako wanaganga njaa tu mitaani!! nasikilizia south africa na UK kwenye bomba tu !! hila wewe kila mara mara upo uk mara uwaarabuni mara bondeni !! duh . tupe siri ya mafanikiyo yako kaka??
ReplyDeleteWewe hapo juu kama ni mwandishi wa habari unayeulizia siri ya mafanikio yake ni nini???MHHHHH nadhanni unaelewa siri yake ni nini ...mwenzako anajua kuandika kiswahili fasaha. Sasa wewe wakikutuma si utatuletea habari sizizo na kichwa wala miguu...{thumuni, hipi, mpiga piga, mafanikiyo} ....tehteh teh
ReplyDeleteMwenzako yupo working vacation