Salam kaka Michuzi,
pole sana na kazi ya kuendeleza libeneke la jamii.
Naomba kutambulisha libeneke lenye nia ya kutoa taarifa za michezo ya ligi kuu ya Tanzania, msimamo, matokeo ya ligi hii ya Tanzania bara almaarufu kama Vodacom Premier League kabla yakuanza kwa msimu huu mpya utakaonza rasmi August 21. Jina LIGI KUU TANZANIA
http://www.ligikuu.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...