Mwenyekiti mpya wa Yanga Loyd Nchunga
akishukuru wanchama kwa kumchagua usiku wa
kuamkia leo ukumbi wa PTA HAll jijini Dar
Makamu mwenyekiti mpya wa YANGA,
kibopa Davies Mosha, akishukuru wanachama

wanachama wa YANGA wakiwa kwenye mkutano mkuu
Wanachama wa YANGA wakijipanga kupiga kura
Makamu Mwenyekiti wa YANGA kibopa Davies Mosha akiwa na mabodigadi wake
Francis Kifukwe akiondoka na mfadhili mkuu wa
YANGA Yusuf Manji eneo la tukio baada ya kujitoa kugombea.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. CHANGE WE NEED!July 19, 2010

    YAMETIMIA!SURA MPYA YANGA MPYA!DAIMA MBELE NYUMA MWIKO,KILA LA KHERI LOY NA DEVI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2010

    Du!Mwenyekiti wa YANGA ana Bodigadi,.lol Wabongo kwa Mbwembwe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2010

    Naona mambo ya mabodigadi yameanza Bongo! Duh!

    Mengi sijui naye ataajiri! Lah!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2010

    sasa hao ma bodyguard wa nini??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2010

    Woooow. Naona Davies Mosha analindwa na Mr. Manji nae analindwa. TZ tumeshafikia huko sasa?

    ReplyDelete
  6. michu nimependa kichwa cha habari 'kuchukua nchi'. yanga ni ni tanzania na tanzania ni yanga.

    sasa shwari jangwani kwetu. hili ni suala la kifamilia zaidi. msiohusika msinuse hapa. ngojeni kichapo tu mwaka huu. mwaka huu ni bakora shuleni na nyumbani.

    hongera yanga kufanya uchaguzi wa kupigiwa chapuo. nani kama yanga, nani hapendi kuwa yanga.

    yanga imara!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2010

    Jamani hao jamaa waliovaa suti nyeusi wanayanga wa wapi?
    Kandambili wa yanga tunawafahamu????

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2010

    ulinzi kwa yanga lazima dakika 2 tu bakora ndio maana kila mtu kaja na mlinzi wake

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2010

    Ushauri wa bure!!!
    Walinzi mwili wasiishie kwenye uchaguzi, maadui wa kweli tunakaa nao mitaani.Good Luck!!!!!!!!!!!!!


    Nkyabo- Bongo

    ReplyDelete
  10. Kwa kweli Pongezi kwa Uongozi mpya. N i vema mkajipanga vizuri na kuzingatia kuondoa makundi yaliyokuwepo wakati wa maandalizi ya uchaguzi. mjitahidi kuwashirikisha wanayanga na katika masuala yote yanayohusu Yanga yao. na hata katika kamati mbalimbali mjitahidi kuwaweka hawa waliogombea na kura zao kutokutosha kama alivyofanya Rage. kufanya hivyo kutaondoa chuki na kuzidisha umoja. Yanga hoyeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...