Home
Unlabelled
Loyd Nchunga na Davies Mosha wachukua nchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YAMETIMIA!SURA MPYA YANGA MPYA!DAIMA MBELE NYUMA MWIKO,KILA LA KHERI LOY NA DEVI.
ReplyDeleteDu!Mwenyekiti wa YANGA ana Bodigadi,.lol Wabongo kwa Mbwembwe
ReplyDeleteNaona mambo ya mabodigadi yameanza Bongo! Duh!
ReplyDeleteMengi sijui naye ataajiri! Lah!
sasa hao ma bodyguard wa nini??
ReplyDeleteWoooow. Naona Davies Mosha analindwa na Mr. Manji nae analindwa. TZ tumeshafikia huko sasa?
ReplyDeletemichu nimependa kichwa cha habari 'kuchukua nchi'. yanga ni ni tanzania na tanzania ni yanga.
ReplyDeletesasa shwari jangwani kwetu. hili ni suala la kifamilia zaidi. msiohusika msinuse hapa. ngojeni kichapo tu mwaka huu. mwaka huu ni bakora shuleni na nyumbani.
hongera yanga kufanya uchaguzi wa kupigiwa chapuo. nani kama yanga, nani hapendi kuwa yanga.
yanga imara!!
Jamani hao jamaa waliovaa suti nyeusi wanayanga wa wapi?
ReplyDeleteKandambili wa yanga tunawafahamu????
ulinzi kwa yanga lazima dakika 2 tu bakora ndio maana kila mtu kaja na mlinzi wake
ReplyDeleteUshauri wa bure!!!
ReplyDeleteWalinzi mwili wasiishie kwenye uchaguzi, maadui wa kweli tunakaa nao mitaani.Good Luck!!!!!!!!!!!!!
Nkyabo- Bongo
Kwa kweli Pongezi kwa Uongozi mpya. N i vema mkajipanga vizuri na kuzingatia kuondoa makundi yaliyokuwepo wakati wa maandalizi ya uchaguzi. mjitahidi kuwashirikisha wanayanga na katika masuala yote yanayohusu Yanga yao. na hata katika kamati mbalimbali mjitahidi kuwaweka hawa waliogombea na kura zao kutokutosha kama alivyofanya Rage. kufanya hivyo kutaondoa chuki na kuzidisha umoja. Yanga hoyeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDelete