maelfu waliojitokeza kuangalia fainali ya kombe la dunia kati ya Hispania na Uholanzi usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Biafra jijini Dar iliyokuwa inaoneshwa bure na kampuni ya AfriCinema kupitia screen kubwa ya kisasa na projector maalumu kwa show za nje
Uwanja wote wa Biafra ulifurika
Biafra usiku wa kuamkia leo
wadau kibao
Biafra
Vuvuzela kama kawa
Mzee Stephen Rweikiza (kulia) na kikosi kazi chake cha AfriCinema wakionesha bure fainali ya kombe la dunia viwanja vya Biafra usiku wa kuamkia leo
Hapa ni Mlimani City










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2010

    Hicho ni kitambaa ama kiplastiki kinachoonyesha picha kwa kutegemea projector! Na sio screen!

    Unless you have given 'screen' a whole new definition / meaning, that is.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    Hapo biafra,,hamna cha vuvuzela wala spania,,,,vibaka tu kwenda mbele,,hata huwezi furahiya mpira,,,roho mkononi..ila tanks to mbunifu,,alikuwa na nia njema tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2010

    michuzi
    mimi nataka kukuandikia mail lakini sijui mail adress yako nitaipataje, naiomba kupitia hapa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    Surface nayo ni screen?

    That is a surface on to which pictures can be / are projected. Does it make it a screen?

    Is not a screen a tube of some sort on to which pictures are shown / images are transmitted?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2010

    screen= surface of a tv,vdu etc, on wchich an image is formed; white surface on which films or slides are projected; the screen= cinema generally.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2010

    Mimi sijui kiingereza lakini najua kutumia dictionary. Hao wenzangu ambao ni waingereza wanakataa kutumiwa neno screen katika habari hii.

    Screen
    a specially prepared, light-reflecting surface on which motion pictures, slides, etc., may be projected.

    chanzo: http://dictionary.reference.com/browse/screen

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2010

    Aliyeingiza goli la ushindi wa Spai alikuwa kwanza offside!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2010

    jamani ndugu zangu muwe makini sehemu kama hizi zenye mkusanyiko wa watu wengi angaliani watu wanawazunguka wako vipi maana dunia imeharibika angalia uganda 74 people dead bila uruma.ni mategemeo yangu sehemu kama hiyo kunakuwa na mapolisi incase anything hapen

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2010

    watanzania sijui kama tutafika, watu wamekaa mkao wa kukosoa tu ukosoaji wao uko ki chuki chuki tu not so constructive at all, if u think u a very professional can u please try to make some positive creaticisms. Kutumia neno screen au kitambaa au surface au kiplastiki kutakuwa kumetoa ujumbe wowote tofauti na huo aliotolewa na mwenzetu (mpasha habari)? hao wakosoaji wenyewe kujitambua hawaajitambui, isitoshe hata research za kutosha hawafanyi ni kukurupuka tu na kukosoa. Tz ya leo si ya jana wajuzi ni wengi wasomi ni wengi muwe waangalifu mkikosoa. Kwanza jifunzeni kujadili ujumbe ulioletwa kwenu na kama kuna kurekebisha msemo basi iwe based on thorough research na sio mtazamo wa mtu tu. Ujumbe ni kwamba tunapiga hatua sasa. Watu wote wenye uwezo na wasio nao wanaweza kuona kombe la dunia bure, which is exremely great! For those posh people they can still stay at home on the confort of their satelite dishes, security guards and gates waangalie mpira lakini kwa wale wenzangu na mimi wataburudika kivyao na screen ya bure infact they have got nothing to fear for kama vibaka wanaishi nao kila kona hivyo hawawatishi. Hongera ndugu ulietoa huduma hiyo na mungu atakulipa ujira wako kama dhamira yako ilikua ni kuwasaidia walala hoi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2010

    waeleze hao wanafikiri tz ya leo ndio ile ya kuwadanganya watu kujifanya wao ndio waeelewa wakati sasa tz wasomi wakumwaga na watu wanatembea nchi tofauti tofauti kama wakisema wajitaje utakom wewe ila ndio hivyo ushaambiwa dunia ya tatu lkn tunasogea kidogo kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...