Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji Mbeya Mbuvi Ngunze akionyesha moja ya mapipa ya kutupia uchafu yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa kijiji cha Songwe mkoani Mbeya. Vilevile wafanyakazi wa kiwanda hicho walifanya usafi katika kijiji hicho wakiwa wanahitimisha mwezi wa usalama na afya. Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji Mbeya wakishiriki katika zoezi la kusafisha kijiji cha Songwe mkoani Mbeya. Usafi huo ulikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa afya na usalama uliokuwa na maudhui ya usafi wa nyumbani kwa mwaka huu. Kiwanda hicho pia kilitoa vifaa vya usafi ikiwemo mapipa ya kutupia uchafu ili kuwawezesha wanakijiji hao kuendeleza usafi wa kijiji hicho.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji Mbeya wakishiriki katika zoezi la kusafisha kijiji cha Songwe mkoani Mbeya. Usafi huo ulikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa afya na usalama uliokuwa na maudhui ya usafi wa nyumbani kwa mwaka huu. Kiwanda hicho pia kilitoa vifaa vya usafi ikiwemo mapipa ya kutupia uchafu ili kuwawezesha wanakijiji hao kuendeleza usafi wa kijiji hicho.
Afisa wa Kiwanda cha Saruji Mbeya akigawa vifaa vya kufanyia usafi kwa mmoja wa kinamama wa kijiji cha Songwe wakati wa zoezi hilo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2010

    We should do this every week or so. Congratulations this is something we adopt in all our events instead of going to the stadiums and listen speeches from those promise-less politicians.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...