Ankal asante sana kwa kutuletea mada kama hizi ambazo ukiondoa zile za kina Mashaka, Kamau na Dr. Shayo, huwa zinachangamsha kijiwe ile mpaya. Nami nipe lau nafasi nipate kusema kidogo na mdau wa Kabul, Afghanistan, oooh mamaaaaa...
Mdau wa Kabul, Afghanistan,
Mdau wa Kabul, Afghanistan,
Kwanza kabisa napenda kuanza kwa kukukaribisha nyumbani, inavyoelekea wewe umekaa huko siku nyingi sana, au la wewe ni wa hapahapa lakini umeshindwa kuona na kubainisha yanayofanyika hapa nyumbani.
Mdau, Kama unajua na kuelewa siasa, speech ya kurudisha fomu siyo ya kutoa facts and figures to support arguments....ni speech ya kuwashukuru wadhamini na kuwaahidi wanachama wenzako nini ambacho utafanya ukipita kama mgombea.
Mgombea pekee wa urais kupitia CCM alivyobainisha hakuna shule ya kusomea kuwa Rais, hakulenga kwenye kuwadanganya wananchi kama madai yako yalivyo. Mgombea alikuwa anazungumzia his personal experience as a President for the past five years and some of the challenges encoutered on the JOB. Sasa unless kama wewe ni Mzee Mwinyi and Mzee Mkapa (meaning you have been the President before) then you will be in a position to say Rais Kikwete aliwadanganya wananchi. If you are not, let him be honest with us, sisi wananchi tunamuamini maana ni muungwana hana sababu ya kuwadanganya wananchi kwamba alivyoingia alikuwa the best and he knew everything. As a matter of fact, people like us on the ground we APPRECIATE HIM MORE! Hana Makuu wala HAJIKUZI....hatutaki ARROGANT PRESIDENT!
I am glad you recognize that Mr. President did well in some areas and poorly in other areas. This explain his statement of challenges especially with his first two years. But like i said before maybe hauna facts so I will assist you with a few facts i hope utazipata huko Kabul.
Mgombea pekee wa urais kupitia CCM alivyobainisha hakuna shule ya kusomea kuwa Rais, hakulenga kwenye kuwadanganya wananchi kama madai yako yalivyo. Mgombea alikuwa anazungumzia his personal experience as a President for the past five years and some of the challenges encoutered on the JOB. Sasa unless kama wewe ni Mzee Mwinyi and Mzee Mkapa (meaning you have been the President before) then you will be in a position to say Rais Kikwete aliwadanganya wananchi. If you are not, let him be honest with us, sisi wananchi tunamuamini maana ni muungwana hana sababu ya kuwadanganya wananchi kwamba alivyoingia alikuwa the best and he knew everything. As a matter of fact, people like us on the ground we APPRECIATE HIM MORE! Hana Makuu wala HAJIKUZI....hatutaki ARROGANT PRESIDENT!
I am glad you recognize that Mr. President did well in some areas and poorly in other areas. This explain his statement of challenges especially with his first two years. But like i said before maybe hauna facts so I will assist you with a few facts i hope utazipata huko Kabul.
Mtikisiko wa uchumi ulioikumba dunia nzima haukuletwa na Mh. Kikwete, na haukumuacha Mh. Kikwete in isolation. As far as comparison with Mh. Mkapa, it will be unjust and unfair to say yeye ndio aliyesababisha kuzorota kwa uchumi. Obviously hawa wawili hawawezi kuwa sawa, maana hakuna binaadam wawili walio sawa kwa sawa, lakini pia wote wawili wamejitahidi kuisogeza Tanzania mbele. Kwa umakini kabisa, Mh. Kikwete amehakikisha anaendeleza mafanikio yaliyopatikana kipindi cha awamu ya tatu cha serikali ya CCM. Sasa hiyo comparison yako nadhani haikubeba aspect ya financial economic crisis ya dunia ambayo wakati wa Mzee mkapa haikuwepo.
Kwenye suala la Infrustructure development, again I wonder if you do not have facts how can you conclude ya kwamba serikali ya kishkaji ilipoingia madarakani ujenzi ulislow down? Ngoja nikusaidie mdau, here are the facts against what you call serikali ya washikaji waliyoahidi na waliyotekeleza:
Barabara kuu za kuunganisha mikoa zilizoahidiwa kufanyiwa kazi 2005 ni:-
* Manyoni- Dodoma ambayo imekamilika
* Manyoni – Singida, Singida – Shelui pia imekamilika
*Shelui – Igunga, Igunga – Nzega – Ilula na hii nayo imekamilika
*Muhutwe – Kigoma imekamilika umuulize mbunge wetu kijana Zitto Kabwe
*Nangurukuru – Mbwemkulu – Mingoyo nayo hii nadhani imekamilika
*Mkuranga – Kibiti imekamilika
*Pugu – Kisarawe tumeshaiona imekamilika na imefunguliwa
*Chalinze – Morogoro – Melela imekamilika pia. Mdau hizi ni baadhi tu ya barabara zilizokamilika. Kuna nyingine nyingi bado ujenzi unaendelea ukitaka data tutakupatia. Vipi mabomu huko, yamepungua???
Salam nyingi
Mdau
Dar es salaam - Moro
Mdau
Dar es salaam - Moro
MDAU WA MOROGORO FACTS ZAKO JUU YA BARABARA SI ZA KWELI ZOTE ULIZOZITAJI TAYARI ZILIKUWA EARMARKED NA AWAMU ILIYOPITA NA NYINGI YA HIZO ZILISHAANZA UJENZI KWA MFANO YA DAR - LINDI HADI MTWARA ILIKUWA INAJENGWA TENA KWA KASI NA BAYA ZAIDI WALA BADO HAIJAISHA IMEZOROTA KABISA NA KASI YAKE IMEPUNGUWA. ANYWA IN SHORT JK NI MZURI NA ANA NIYA NZURI NA UTENDAJI WAKE LAKINI YAPO MAPUNGUFU FULANI KAMA BINADAMU MWINGINE TU, AMEEANZA NA TUMWACHE AMALIZIE AWAMU YA PILI NA HATA HIVYO UKIMLINGANISHA NA WAGOMBEA AMBAO TAYARI TUMESHAWASIKIA YEYE NI AFADHALI KULIKO WOTE NA JINGINE CCM HADI SASA NI CHAMA BORA KULIKO VINGINE NA HII INATOKANA KUWA BADO ORGANISATION ZAO SO BORA VINAONEKANA KAMA VYAMA VYA UCHAGUZI TU MARA UCHAGUZI UKIISHA BASI HATUVISIKII TENA. SERIKALIPIA YA SASA INATAKIWA IJITAHIDI HASA KATIKA UTENDAJI WA SERIKALI MASWALA YA NDANI YA KIUTENDAJI, HII NCHI NI YETU SOTE NA LAZIMA TUCHANGIE PALE TUNAPOONA TUNAWEZA KUCHANGIA, TUKOSOWANE KICHANYA NA KIHASI PALE PENYE KUMSIFIA MTU TUMSIFIA NA PALE PENYE KUMKOSOWA TUMKOSOWE, NA PENGINE WAKATI MWINGINE HATUNA HAJA YA KUMSIFIA KWA VILE HIYO NI KAZI YAKE NA TULIMCHAGUWA TUKITEGEMEA ATAFANYA HAYO MAZURI ANAYOFANYA, WATU WENGI MITAANI WANALALAMIKA JUU YA UTENDAJI WA SERIKALI NDANI YA SERIKALI, TUTASEMA HATA KAMA HAWATATUSIKILIZA KUNA HII KITU YA KUPEANA KAZI WAO KWA WAO TU NA KUZUNGUSHIANA VYEO WAO KWA WAO NDANI YA SERIKALI NA HATA NJE YA SERIKALI HII INALETA PICHA MBAYA, HII KITU NIUGONJWA WA SIKU NYINGI SANA TOKA TUPATE UHURU, NDIYO WATU WANAOPEWA KAZI NA VYEO NI WASOMI NA WANAUWEZO LAKINI KATIKA SOCIETY LAZIMA KUWA NA BALNCE ILI KU-CREATE HARMONY BETWEEN PEOPLE ILI TUONDOWE ILIHISIA YA UPENDELEO, NI HURUKA YA BINADAMU KUTAKA KIZURI NA DAMU NI NZITO KULIKO MAJI LAKINI KATIKA DHAMANA YA SERIKALI NI KITU YA HATARI SANA HASA PALE WATU WANAPOKUWA NA HISI FULANI HATA KAMA SI ZA KWELI. JAMANI TUACHE HII KITU YA KURITHISHANA VYEO TUSIPOI-CHECK SASA ITAOTA MIZIZI ITAKUWA YALE YA AKINA OMAR BONGO, TOURE NA SOMETIMES INAWEZA KUVURUGA AMANI KWANI WATANZANIA WA SASA WAMESOMA
ReplyDeleteNdugu yangu hapo hata sioni hoja unayompingia mdau wa Kabul. Hizo barabara zote unazozisema zilianza kujengwa enzi za Mzee mkapa. ujenzi wake ni kweli ulislow down kwani hivi unajua hizo barabara zilitakiwa ziishe baada ya muda gani? Kwataarifa yako hizo barabara zimechukua muda mrefu zaidi kuliko uliopangwa awali. usiongelee siasa, jaribu kuongea fact.
ReplyDeleteMnapoteza muda tu, hii inchi inazidi kurudi nyuma hasa sehemu za mikoani. Tusimlaumu rais kwani hakuna mtu alietayari kuwa rais, ama kwa mambo mengine bado mtanzania rais asilia hajazaliwa, ilichobaki tuzidi kuoana na kuzaa watoto wazuri, siku mmoja atakuja rais mzuri, kama sio dikiteta.
ReplyDeleteWamwambao walisema...kula kukicha jana afadhali ya leo, na ndio itakuwa hivyo hivyo......miaka 5 ya nyuma afadhali ya ile 5 inayokuja
hey buddies, majibizano hayasaidii kitu chochote na kama tukiendelea namna hii. tutajiona tunaenda mbele, kumbe tunatembea juu ya "CONVEYOR". clear?
ReplyDeleteWatanzania kwenye siasa ya majibizano wengi wetu ndo tunapenda lakini ni ushamba na upotezaji wa muda, na kwa namna hii, Zimbabwe inatuoverlap mapema sana.
sifa za kuitwa nchi yenye amani ndio tunazipenda lakini sio za Nchi inayojitafutia yenyewe. we need to struggle guys, especially men bcz ndio wakaaji na ndio nguzo. siku zote maisha yakibana kila mmoja anatafuta namna ya kuishi. mfano; mwanamke anaweza olewa na mgeni na akaondoka, je we mwanaume uliebaki pia utajioa? SORRY LADIES SINA MAANA MBAYA, CLEAR?
mfano:
1. jamani madini ni yetu, ila sisi ndo tunaotetemekea tena, ili iweje? kwa akili ya haraka lazima kuwe hakuna uzalendo na kuna msaliti.
2. nasikitikia kiwira, sijui tunafurahia nini na nchi yetu.
tunapenda sana kuletewa na sio kuumiza vichwa.
nina maswali na mawazo mengi sana kuhusu nchi yangu. iliyojaa vitisho vingi visivyo na msingi.
NI HAYO TU LEO.
M.O.V
mdau wa moro umejitahidi sana kumkingia kifua rais wetu, ila 'umesahau' kile kifungu cha kuwalegezea maswahiba.
ReplyDeleteebu rudi umalizie au kama kuna anayeweza kukifafanua, mande inaruhusiwa.
OK, UJENZI WA BARABARA HUWA UNAFANYIKA LAKINI NVUA ZA MASIKA ZIKIJA?? ZOTE HUBOMOKA, NA KUANZA UPYA, SASA HUO NDIO UJENZI WANAOJIVUNIA KUWA WAMETEKELEZA?? TZ BADO SAANA TUKO NYUMA, UTEKELEZAJI WA VIONGOZI WETU VERY POOR- JAMANI SI TUKUBALI UKWELI, LA MSINGI NI KUKAA PAMOJA TUTATUE TATIZO, HAINA HAJA KUTUPIANA MANENO YA LAWAMA
ReplyDeleteMDAU..
READING UK
Asante kwa maoni. Tafadhali andika maoni yako aidha katika kiingereza au kiswahili pekee.
ReplyDeleteMdau wa dar es salaam - moro bab kubwa kwa kumpa fact kwenye data ambazo yeye Mdau wa kabul hazijui na kwa data nyingine barabara ya Kisarawe - Chole ipo kwenye hatua za matengenezo,awa ndio wale wale.Karibu sana nyumbani kama kweli upo uko kabul, MDAU KIJIJINI CHOLE SAMVULA KISARAWE.
ReplyDeleteWewe mdau unaonekana hujui cho chote alicho sema mdau wa kabul. bara bara zote ulizosema zimekamilika zimeanzishwa na John Pombe Magufuli hasa hii ya Dodoma mpaka Mwanza.
ReplyDeleteNakushngaa ukisema eti JK kafanya lolote kwenye baranbara. Barabara zote zinazo maliziwa ni ambazo Mkapa kupitia Magufuli alizia nzisha na kupanga bajeti yake.
Kwa kuku saidia unachoweza kusema kwa Kikwete ni kumwambia kwamba amesahau ahadi zake mwenyewe na sasa anatekeleza sera na mipango ya mkapa/Magufuli.
Mzee naona umefanya research kubwa sana kuhusu na data ulizozitoa. Unajua barabara zote kuanzia Kigoma mpaka Pwani na Dar, hongera lakini what you don't understand in politics ni kwamba mtu anayelaumiwa ni current president for what is happening in the country. Obama analaumiwa kuhusu na vita ya Afghanistan pamoja na kwamba Bush ndio aliianzisha so you have to be fair, politics is a dirty game and never trust a politician, I work with them here in New York City at City Hall every day. Naona you are a hard core CCM supporter which is OK but don't knock the guy because there is many issues which vyama vya upinzani vimeyatoa hadharani. But its all good and luv your blog.
ReplyDeleteHuyu mchangiaji hana jipya.....ebu jiulize kilo ya sukari sasa unanua bei gani ama unga ......sukari inatoka mtibwa na kilombero.....
ReplyDeleteFoleni dar es salaam........tutaendelea vipi kama infrastructure mbovu...hasa dar ambayo ndio sebule ya tanzania....2 hours kwenye foleni... jamani tuwe serious.....
Kama kikwete hana makuu na mpenda watanzania.......hizo billioni 40 za kampeni....aseme CCM wasifanye kampeni mwaka huu na zikwende kwenye miradi ya kujenga nchi.....Hapo ndio atakua mwanaume.......
Lakini wabunge wa CCM hawawezi kushinda bila kutoa kitu kidogo...ndio maana fungu linakua kubwa......
Naomba watanzania tuwe na utaratibu wa kutembea......Nenda Rwanda.....kagame katumia miaka mingapi kuweza kuibadilisha nchi yake...Rais wetu anatoa tamko fulani......kesho yake watu wakiandamana anabadilisha maamuzi......
Maisha ya mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa mabovu na yanachangiwa na utawala mbovu wa chama na mapinduzi wa wakiongozwa na mwenyekiti wake ambaye ni Rais wa jamhuri ya muungano.....
Nenda BOTSWANA........botswana nafikiri kuna chuo cha kikuu kimoja tu ambacho kinamilikiwa na serikali......50 % ya wanafunzi wanafaulu kujiunga na elimu ya juu wanasomeshwa nje ya nchi na seriakli...wengine wako marekani,wengine uingereza, wengine australia...n.k
Tanzania kila siku wanafunzi wanapigwa virungu na FFU kuhusu mikopo.....tunashindwa kuwasomesha vijana wetu hapa hapa tanzania wakati wenzetu wanawasomesha nje na nchi.......
Tunataka Rais ambaye ana deliver sio maneno mengi tu.....mimi binafsi nafikiri serikali ya mheshimiwa KIkwete ndio serikali mbovu kuliko zote duniani...zaidi ya matamasha ya mziki na mechi za mpira wa miguu sijui wamefanya nini tu....
Inabidi tuwe na uchungu na nchi,vijana tuamke,bila hivyo nchi itaendelea kuanguka kiuchumi.
MICHUZI NISIPOIKUTA KWENYE COMMENTS TUTAGOMBANA ......KUNA KITU INAITWA TRANSPARENCY AND ACCOUNTABILITY.....
NAWAKILISHA.....
Tatizo na hawa waandishi wetu ni kwamba pointi wanakuwa nazo, lakini iwe lugha ya kiswahili au kiingereza hawawezi kujielezea kiufasaa.Wanajigonga gonga na pointi kuchanganywa kila sehemu
ReplyDeleteMashaka John na kundi lake wanavutia siyo kwa sababu wanatumia lugha iliyonyooka ya kimombo, bali wanajua kujipanga. pointi zao mara nyingi unazikuta na mitiririko ya kusisimua, na ukianza kuzisoma kama ni mtu wa uelewa unashtukia unamaliza huku ukitamani iendelee
wanajamvini, nadhani itakuwa vyema kuyachanganua mawazo yetu kabla ya kuyaweka kwenye umma, na hii ndio sababu kubwa wengi wetu wanaficha majina yao kwa sababu ya kutokujiamini. huyu kaka wa Moro na Kabul wote feki, kwa hiyo hakuna cha kumtetea mtu wala nini, wote bomu
I AM READING AND NOBODY WAS SEE THE POINT WE ARE TELLING TO THE PEOPLE OF REPUBLIC OF TANZANIA AND AFGHANISTAN. PEOPLE WAS NOT AT MUZUMBE UNIVESITY OF CHUO KIIKUU OF KULE MULOGOLO WAS CLEVER LIKE J MRISHO KIKWETE AND NABII YOHANA MASHAKA AND STEVENI KANUMBA AND WEMA SEPETU OF STERINGI IS THE GENIUS FROM AFGHANISTAN AND TALKING POINT NO DEVELOPMENT IN THE COUNTRY. WE CALLING HIS HIGHNESS HASHEEM THABEET AND HIS HOLINESS YOHANNA MASHAKA TO COME AND INVEST IN THE ECONOMICS OF TANZANIA AND BECOME YOUNG BILLIONAIRES AND COUNTRY WILL DEVELOPMENT. SO ISEE THE AFHANISTAN AND FROM MUROGORO BWEGE TU, NO TALKING POINT OF THEM ATLEAT FOR THE COUNTY
ReplyDeleteHuyu mdau naona mpaka kapewa front page!
ReplyDelete-Kashindwa lakini kueleza kwanini mafisadi wanaahidiwa hawaendi jela kama wakirudisha mahela waliopora iwe ni EPA, KIWIRA, RADA, KODI au RICHMOND!
-Nashangaa hajasifia jinsi uongozi wa sasa (ambao unafikiri bado uko HONEYMOON) haujatatua matatizo ya maji, umeme, afya, elimu na huduma muhimu kwa jamii, maana wasisema eti hawakuahidi, haya matatizo yapo, pesa ipo, lakini inatumiwa vibaya kwa safari za viongozi, posho za mikutano, mishahara hewa, matumizi mabaya wizarani, mikoani, kwenye mashirika na wilayani.
-Huyu mdau hawezi kutudanganya toto kwamba hali kimaisha ya mwananchi wa kawaida imekua nzuri kuliko miaka iliopita! Huwezi kusingizi mtikisiko wa kiuchumi wakati serikali ilio madarakani inatoa "tax exemptions" kama njugu! Ukusanyaji wa kodi bado ni dhaifu na hausimamiwi vya kutosha, mie nataka huduma zote nilizozitaja hapo juu, na sitajali kama serikali yangu itanikata kodi ya kiwanja, nyumba, maji, umeme, chakula, barabarani, kodi ya kichwa na hata kazini au kwenye biashara zangu, swala tu nipate huduma za jamii kama nilizotaja hapo juu.
-Hii serikali imeweka mbele sana anasa, ma party kila baada ya vikao, posho na magari ya kifahari serikalini, pesa nyingi mno kutengewa kwa ajili ya chai na vitafunio, fedha nyingi mno kutumiwa kukarabati au kujenga nyumba za viongozi wake, wakati nyumba za serikali zipo, lakini zimeuzwa kinyemela, (na watuhumiwa wala hawachukuliwi hatua wala nini!). Usisingizie JK kayakuta haya, swala kafanya nini kurekebisha uozo huu????
Tumechoka kuwaambiwa matatizo tulio nayo hayawezi kuisha eti sababu serikali haina pesa! Lakini mbona Brazil walikuja kwa hela yetu? Viongozi wetu wanasafiri na mawe kwenda nchi za nje? Hawa mafisadi wanaiba hizo hela kutoka wapi? Tuna madini, mito, maziwa, vyanzo vya maji na maliasili za kitalii, kwanini hatutumii vizuri huu utajiri wetu?
BURE KABISA!
PLZ MR MICHUZI LET ME POST THROUGH !!
ReplyDeletehamna kazi wote mnao lumbana humu !! mpati tunzo yoyote humu kama kweli mna juua nchi hinakwenda wapi na mnataka nini muwe mana yafanya mnayo sema kwa vitendo!! dahini akizenu atharani si kujibadilisha majina faki na kujiita sijuhi kamau sijuhi m Afghanistan u all a coward thats why mnajibadiza majina fake wate nyinyi upo bongo hina hamna mshipa wa kuweka majina yenu ya kweli!! kwani kiukweli freedom hiyo tz akuna !! unaweza kujinyima kula kwa sababu ya kuchonga bovu.hii ndo tz
Moja ya mambo yanayokwaza maendeleo ya "nchi za dunia ya tatu" na hususan Afrika ni siasa za haiba.Tukiendelea namna hii sia ajbu huko mbeleni wajukuu na vitukuu watakuja kubomoa makaburi yetu kwa hasira huku wakijiuliza kama tulikuwa na kili timamu au punguani.
ReplyDeleteMbona tunakuwa wepesi sana wa kusahau yaliyoahidiwa wakati wa kampeni za JK mwaka 2005?Hivi si JK huyu aliyetuambia kuwa anawafamu wala rushwa kwa majina na kwamba anawapa muda wa kujirekebisha?Je wameshajirekebisha au hiyo deadline aliyotoa ilikuwa indefinite?
Wakati mdau wa Morogoro anaiga mkumbo wa serikali yetu kueleza mambo kwa takwimu na kupuuza hali halisi in the streets,anasahau ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania.Ndugu zanguni,tusiangalie sura au kuweka mbele itikadi za vyama bali tunapaswa kuangalia hatma ya taifa letu.Kwanini hatujiuliza "mabilioni ya Kikwete" yameishia kwa akina nani,kwanini jambazi mkubwa wa fedha za EPA-kampuni ya Kagoda- ameendelea kuwa SIRI KUU,na kwanini ishu kama Meremeta,Tangold,nk zimeendelea kunyamaziwa kwa visingizia vya usalama wa taifa?
Tunapaswa kutambua kuwa vyama vya siasa vinapita (ie vinazaliwa,vinakua na pengine vikaishia kufa) lakini nchi yetu LAZIMA iendelee kuwepo.Hisi siasa za unazi kwa mtu au chama flani ndio zinazokwaza dhamira ya kuhoji watawala wetu maswali ya muhimu kama kwanini nchi yenye utajiri mkubwa wa raslimali kama yetu inaendelea kuwa maskini.Na ni muhimu pia tukumbuke kuwa wakati tunaoiga debe kwa maslahi yetu binafsi kuna baba,mama,kaka,dada,ndugu,jamaa na marafiki zetu wanaotaabika kutokana na ufisadi,umimi,uzembe,kuleana,nk ambavyio kwa kiasi kikubwa vimeota mzizi katika awamu hii ya JK.
(1) mtikisiko wa uchumi umeikumba dunia nzima (2)pesa nyingi za miundombinu iliyokamilishwa awamu ya 3 zilitokana na miradi iliyoanza awamu ya pili (Mzee Mwinyi). (3) chuki zote hizi ni za kidini tu ambazo kwa vyovyote hazitazimwa hata tungelikuw na rais malaika asiyekubalika na baadhi ya watu wa dini fulani na (4) ndiyo maana wana-manipulate data bila kutazama context wala vyanzo vya miradi wala ufisadi mkubwa uliofanyika katika sekta ya madini, njaa '97, 2001 & 2003, sakata la radar, richmond, n. k. (5) wakati mwingine inabidi tuwaambie ukweli bila kuupaka mafuta.
ReplyDeleteWe evarist wacha kupotosha ukweli kwa chuki zako. Hizo skendo za meremeta na tangold zilanza mwaka 2003 hadi 2005. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Mh. Rais Mkapa ndiye aliyekuwa Rias wetu kati 2003 na Novemba 2005. Naona uongo wenu mliouonesha enzi za Rais Mwinyi (mkombozi wa mafukara) mmeurudisha upya. Get a TRUTHFUL life dude!!!!!!
ReplyDeleteHi Michuzi, Big up for that blog.
ReplyDeleteHuyu ndugu wa Morogoro ni wale wanaishi kwa Tshirt na Kanga za chama kile Tangu enzi zile,amechoka mawazo
Naamini kabisa kila Mtazania anahaki ya kuongea na kutoa maoni lakini asivunje sheria, pia ana haki ya kuilinda nchi yake na kuitetea. Ni ukweli maoni yametolewa yanajaribu kuponda Mh.JK, Mimi naungana nao.
Taifa hili sasa naona linaitaji wakina mama na vijana waliongozee kwani hawajawa wezi. Achana na wakina waeshimiwa hao wanaojiita. Pili mtu yoyote anayesema maendelea yameonekana ni mjinga au ni mwezi, Hasara ambayo tumepata au pesa ambazo zimeibiwa kwa awamu hii ya tatu zinazidi maendeleo ambayo yanatajwa. HAPA NAONGELEA KODI YA KAPUKU. Ukisema shule wananchi wamejenga wenyewe wakati katika katika serikali yenye jukumu la kujenga kutokana na kodi.
Awamu mimi naona Utawala wa huu ni per diem mara USA,mara Dubai,Mara Muziki wa Kiduku hata wabunge wetu uso umengara.
We need cu-detat in democracy way, ili taifa hili liweze kurudi hali yake. Siku hizi naona wameanza kuvamia vyuo vikuu na kuwapandikiza vijana wetu giza akilini wakome na waache. Wanaarakati tutaendelea, ninajua wafadhaina watawala mwaka huu lakini siamini miaka kumi ijayo kama wataweza, tuwaombee uzima ili vijana wetu waiminifu waje wawaniningize jela vizuri kwa wizi.
Huyu nd wa morogora achana naye amechoka akili yawezekana ni wale wanaishi kwa tshirt na kanga za CCM