mzee Tamim Abdallah Kiombile enzi za uhai wake

The Kilimanjaro Band, imepata msiba baada ya mmoja wa wanamuziki wake Keppy Kiombile kufiwa na baba yake mzazi Mzee Tamim Abdallah Kiombile. Mazishi yatakuwa mchana wa Jumamosi, 10 July 2010 hapo Ifakara.

Wapenzi wa Njenje wanaombwa kushiriki katika msiba huu kwa kumwombea marehemu.

Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    Poleni sana familia ya Kiombile kwa msiba mkubwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2010

    Poleni sana,ABUU,KEPI NA YUSUPH, Namkumbuka sana Mzee wakati ule Kilombero akiwa mhasibu alikuwa akinibeba kwenye Baiskeli yake jamani,Poleni sana.
    william(olisa)USA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2010

    Poleni wafiwa. Fan wa njenje kwa miaka 25.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...