Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP. Bw Reginard Mengi akiwa na Mtangazaji wa BBC,Charles Hillary katika uwanja wa ndege wa kimataifawa Oliver R Tambo, Afrika kusini mapema leo. Idhaa ya kiswahili ya BBCinatangaza moja kwa moja kutoka Afrika Kusini na Radio One ambayo nimoja ya Radio washirika inayomilikiwa na IPP inarusha matangazo hayomoja kwa moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    KWAHIYO?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    Why Mengi anaitwa Mh. I thought you only calls politicians Mh. and Why you dont call Charles Hillary Mh.!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    Mh F papa lol! na Mzee wetu Chalesi Hilali. MZ

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    tanzania ukiwa na pesa wewe unaitwa Mh. Full stop

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2010

    MTU YOYOTE ANAWEZA KUITWA MHESHIMIWA SI WABUNGE TU. IN SHORT THIS WAS MEANT FOR ANYBODY MEMBER OF THE SOCIETY/PUBLIC/CUMMUNITY WHO RESPECT HIM/HERSELF AND OTHERS, SO ANY BODY COULD BE CALLED MHESHIMIWA, HATA MIMI NAITWA MHESHIMIWA, AND, EVEN SIR MICHUZI IS MHESHIMIWA, HAKUNA NOMA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    kwani amejiita mwenyewe? kama Michuzi au Hilary wameamua kumuita Mh tatizo liko wapi? by the way do you think hawezi kuwa Mb.?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2010

    Huyu Mzee Mengi hazeeki kabisa utafikiri yuko kwenye late 50's, TUngeomba wadau atupe dodoso ya siri anayotumia, je ni anti-ageing gani ama mambo ya msosi fresh nini?
    Mdau Kwa Obama

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2010

    mmh no comment for the above two...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2010

    Unajua siku hizi mh. Ni neno la kawaida tu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2010

    Charles grow up, kitambulisho cha FIFA mpaka wa uwanja wa ndege cha nini? Huna haya unakiweka mbele kabisa...! Otherwise kazi mnafanya ni nzuri, keep it up.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2010

    jamani mimi naomba history ha huyu mengi adi alivyo kuwa tajiri kafanyaje fanyaje !1 kwani na mimi na ndoto kama zake !! plz help

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 10, 2010

    Bonge la URAFIKI WA MASHAKA na tabasamu na DUKANI.

    Mdau MZEE NISIEFUNDWA

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2010

    Mbona hawa hawaambiwi wanauza sura wakati wiki iliyopita Kitenge alitukanwa humu humu kwa kutoa picha zake? mmhhh, udini bwana.....

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 10, 2010

    Kweli kabisa urafiki wa mashaka huo!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 10, 2010

    huyu aliyepost hii habari nahisi amedata...sasa watu wamekutana ..kitu gani special hapa?????

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 10, 2010

    Ankal unajua wewe shule yako imekaaje hata mambo ya msingi huelewi. Lini Mengi amekuwa MHESHIMIWA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...