

Mbunge Mbunge wa Jimbo la Kwela Dk. Christant Mzindakaya akiwashukuru wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania jana mjini Dodoma mara baada ya kutununikiwa Shahada ya Uzamifu ya Heshima katika Filosofia ya Uongozi wa Biashara( Honorary Doctorate Degree of Philosophy in Business Administration) na Chuo Kikuu cha California State Christian cha nchini Marekani. Sherehe fupi za kumpongeza zilifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini dodoma. Picha na tiganya vincent-MAELEZO, Dodoma
Nondo ya HESHIMA....What does heshima means kwenye hii kitu....??????
ReplyDeleteMKUU MITHUPU WASOMI TUNAOMBA RESUME YA THESIS YA DR MZINDAKAYA ILI TUWEZE KUONA UMAHIRI WAKE KATIKA USOMI
ReplyDeleteAn honorary degree[1] or a degree honoris causa (Latin: 'for the sake of the honour') is an academic degree for which a university (or other degree-awarding institution) has waived the usual requirements (such as matriculation, residence, study and the passing of examinations). The degree itself is typically a doctorate or, less commonly, a master's degree, and may be awarded to someone who has no prior connection with the academic institution.
ReplyDeleteUsually the degree is conferred as a way of honoring a distinguished visitor's contributions to a specific field, or to society in general. The university often derives benefits by association with the person in question.
DUH!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMSIIDHARAU HIYO DEGREE INA UZITO SAWA NA HATA YA YULE ALIYESOTEA DARASANI ZIKO SAWA KABISA SO HE IS DR NOW. KAMA ANATAKA ANAWEZA PIA KUOMBEA KAZI AU KUFANYIKA KAZI ZA RESEARCH HAINA TOFAUTI NA YA MTU ALIYESOTEA
ReplyDeleteJamani nikumbusheni ni Waziri gani wa bongo alikuwa na Degree Saba?
ReplyDeleteHii ilikuwa wakati wa kipindi cha 90`s
aliyekuwa na degree saba ni TUNTEMEKE SANGA,kiufupi nyerere alimuita toka nje ili ampe nafasi katika wizara moja lakini yeye alimwambia nyerere kutokana na usomi wake atmsubiri yeye astaafu ili ashike urais,
ReplyDeleteNyerere alimpiga marufuku ya kutokujishirikisha na siasa Tz
MDAU ISTANBUL
Politicians kwa sifa?? Mungu anajua sasa hapo itabidi Dr Mzindakaya aitwe Mh Dr Dr Mzindakaya maana aliulizwa ana udokta wa nini akawa mkali sasa ameamua kuongeza manjonjo na mama Lwakatare aitwe Mh Bishop Dr Mwl Mrs Lwakatare! Mpo hapo? Kazi kwenu!
ReplyDeleteMichuzi usiibane hii!
MZEE AMETAFUTA UMAARUFU MIAKA KWENDA MIAKA KUJA. HAKUNA MTU AMEMPA UWAZIRI AU UWAZIRI MDOGO. SASA AMEONA AFADHALI APATE PHD FEKI. POLE SANA.
ReplyDeleteMBUNGE ALIYEWAHI KUWA NA DEGREE SABA NI YULE MBUNGE WA MAKETE ALIFARIKI HAKUWAHI KUWA WAZIRI, KWANI ALIKUWA HAELEWANI NA NYERERE, KWA VILE ALIPORUDI TOKA MAREKANI MWANZONI KABISA MWA UHURU ALISEMA YEYE HAWEZI KUONGOZWA NA NYERERE KWA VILE ANA DEGREE NYINGI KULIKO NYERERE, NYERE ALIMPIGA KARANTNI ASITOKE MAKETE YA BILA KIBALI CHA NYERE, AKASOTA SANA HUKO MAKETE, BAADAYE NADHANI ALIOMBA MSAMAHA KWA NYERE, NDO AKAGOMBEA UBUNGE AKAPATA, ALIKUWA ANAITWA TUNTEMEKE SANGA
ReplyDelete