Urban Pulse Production inawaletea burudani na matukio yaliojiri ndani ya Michuano ya kumtafuta Miss & MR East Africa UK 2010 yalio fanyika Hapa Ukerewe 3rd July 2010 Mjini London. Katika kinyang'anyiro hicho binti Randa Shelbly kutoka Eritrea alinyakua kombe la miss east Africa UK wakati mchizani Degnite Abdeta Dauggie ndio alichukua Mr East Africa UK.Libeneke Oye!
asanteni na Wote Mbarikiwe
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative
Home
Unlabelled
Miss & MR East Africa UK 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
yaani huu ujinga hadi UK?
ReplyDelete