



(picha na Freddy Maro)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Maandiko matakatifu yanatuelezaje interms of namna ya kutoa sadaka? Je yanatueleza tutoe sadaka huku tukipiga picha na kutumia mic --- ama kivingine?
ReplyDeleteWOW! This is great. Kumbe Tanzania ina madhehebu mengi ya kikristo ambayo yako organized lakini hayatambuliki na kupewa sauti na serikali. Serikali inaijua Roman Catholic, Anglican, Lutheran na Moravian zaidi. Kwenye vipindi rasmi vya dini katika vyombo vya habari vya serikali, katika hafla za kiserikali wanazohitajika viongozi wa dini, wanaopelekewa mialiko rasmi ni hao wa madhehebu niliyoyataja tu. Kwa ujumla ni kwamba kuna madhehebu mengi makubwa ya kikristo hayatambuliwi na hayapewi nafasi inayostahili na serikali kama hayo niliyoyataja. Sijui kwanini serikali imekuwa na ubaguzi. Kikwete ameonyesha njia. Congulatulations Bishop Mtokambali and TAG. Mungu aendelee kuwatumia.
ReplyDeletemdau wa pili,mimi napingana na kauli yako kuwa serikali ni baguzi,but ukweli ni kwamba madhehebu ulitaja kuwa yanapendelewa ndo madhehebu yenye huduma za jamii nyingi hapa nchini kama taasisi za elimu,afya, vituo vya wajane na yatima n.k, sasa basi kunapokuwa na hafla mbali2 za kijamii zinazoendeshwa na hizo taasisi za dini mara nyingi huomba uwepo wa serikali kwani ndiyo inayoongoza nchi hii,kwa hiyo basi uwepo wa serikali kny shughuli za hayo madhebu siyo kupendelewa but mchango wake wa kijamii kwa serikali, NDO MAANA HAPO PIA JK KAALIKWA SI UNAONA WATOA MSAADA WA MASHUKA, BASI KAZANENI KUCHANGAMKA.
ReplyDeleteanony Thu Jul 15, 09:17:00 PM kwa hakika umenena.
ReplyDeleteKwanini Msahada usitolewe kwa walengwa ?
ReplyDelete