Mpiganaji athumani hamisi ambaye kapooza mwili wote kufuatia ajali ya gari miaka miwili ilopita huko Rufiji, anaendelea vyema na hivi sasa pamoja na matatizo yake anajichanganya na wadau katika shughuli mbalimbali kwa kutumia kiti maalumu. hapa yupo kama mgeni mashuhuri katika shindano la miss Temeke 2010 katika ukumbi wa TCC Club Chang'ombr jijini Dar usiku wa kuamkia leo
mpiganaji athumani hamisi akiwa na nesi wake aliyekuja naye toka sauzi kumhudumia.

Athumani hamisi akiwa na Modo Fide Ilanga
ambaye kapachikwa jina la Lady Gaga wa Bongo
Athumani akiteta na Joketi Mwegelo kwenye hafla hiyo
wafanyabiashara maarufu jijini toka shoto
Charles Mtawali 'Mzee wa Magari', Muzamil na Deo Kapiteni walikuwepo pia
Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania
Ephfraim Mafuru (shoto) akiongea na wadau
ankal na wadau pia walikuwepo








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2010

    Pole sana mpiganaji,lakini Mungu atakusaidia.
    Kama kawa the fulanas ilikuwepo kwa Ankal - Hongera sana kwa kudumisha mila ya the fulana anagalia isije ibwa pale uianikapo uifuapo.
    Na,
    Mdau wa Lusungo Ipinda Kyela

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2010

    Its nice to see khamisi out and about, otherwise it could have been very boring to just sit home. well as for the others what can I say?? Charles mtawali, deo kapiteni mmmmh they are aging for sure but they both look hot, (too bad im married now, but if this was back in the day when I was doing my thing, I could have jumped on one of them tetetete.

    happy sabasaba kamichu and my fellow bloggers

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2010

    siku za kwanza nilifikiri mpiganaji hamisi ni mtu wa ndondi nikaomba na picha yake ya akiwa na uzima wakati yuko kwenye ringi kumbe ni jina tu mnatoa waandishi wa habari wtf....

    nilifikiri huyo nesi atakuwa yuko kwao tayari kumbe bado yuko ni vizuri manake nani atakaemtunza huyo kama sikosei hajaoa au yule mwanamke kaishia aliyekuwa mchumba. ningependa kumwona huyu kaka kamichu niunganishe basi japo kwa simu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2010

    michuzi una ubaguzi wewe mbona wengine usiandike majina yao? umewaandika tu kina charles mtawali na deo kapiteni sawa tunajua wengine hatuna pesa lakini aliyekuwa juu.....

    leo nimesikitishwa nawe kamichu sirudi tena kwenye hii blog nimefuatilia mwenendo wako kwa muda mrefu naona hubadiliki.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2010

    Booooooosi Bos bos!!!!!! Vuvuzela!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2010

    NI MAMBO YA IMANI LAKINI NIMEONA NITOE TU USHAURI WA BURE MAKE MTU ANAWEZA KUPOKEA AU KUKATAA KUPOKEA USHAURI WA MTU. INANIUMA SANA MPIGANAJI ATHUMANI KHAMISI KUWA KATIKA HALI HIYO AKIWA KIJANA ALIYEKUWA MCHAPAKAZI WA NGUVU SANA. UGONJWA ALIONAO NI MDOGO SANA KWA MWENYEZI MUNGU. ATAFUTE WATU WA MUNGU WAMWOMBEE ATEMBEE TENA KWA MIGUU YAKE MAANA HAKUNA JAMBO LINALOMSHINDA MWENYEZI MUNGU CHINI YA JUA. NAFAHAMU IMANI YAKE YA DINI INAWEZA KUWA KIKWAZO LAKINI KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE. KWA KIFUPI JAMAA YETU AWEZA KUWA MZIMA TUKASHANGAA MIUJIZA YA MUNGU. ANKAL MFIKISHIE UJUMBE HUU NDUGU YANGU HUYU.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2010

    kwanini kaka athumani asimwoe tu huyo msauzi? manake wote watafaidika naona anafuraha sana hapo bongo, mliokuwa jirani nae mshaurini amchukue jumla.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2010

    mdau hapo juu anon 11:27 am umeambiwa athumani amepooza mwili wote.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2010

    kweli hujafa haujaumbika,mshikaji wangu.Jamaa simjui wala nini lakini anaonekana alikuwa mtu wa watu kabla hayamfikia.Wale madada waliokuwa wanamfukuzia nadhani sasa ndo mahali pakuonyesha "mapenzi" ya kweli si kufuata umaarufu na fwedha.Nasikia ukisha-paralyzed from the waist mashine nayo inakwenda mlama.Jamaa atakuwa ndo hatoona nyapu tena.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2010

    Jokate hachuji hata siku moja anaendelea kuwa mrembo zaidi,afu ona anovyoongea kwa heshima na mgonjwa huyu binti ni mfano wa kuigwa nampenda sana hana majigambo wala makuu,wangekuwa wengine uzaliwe Marekani unaingia bila viza mbona tungekoma.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2010

    Pole san mpiganaji Hamisi.
    Jamani Mpiganaji Hamisi yuko fit. Amepooza tu sehemu zingine lakini mashine iko fresh. Nadhani kama anony 10, 08:42:00 alivyoshauri angemchukua tu huyo Msouth akawa wife wake moja kwa moja. Hata kama mashine pia imeathirika haina noma. Kwani kuoa mpaka mashine iwe inaenda hewani?? Pole sana mpiganaji Hamis. Tuko pamoja nawe kwa kila jambo.
    Mdau

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 11, 2010

    ingini bado inafanya kazi jamani kaumia uti wa mgongo sio nerves zingine, anaweza kuoa na kuzaa vile vile yule dada aliyeishia mwache aishie moja kwa moja hakuwa mke vile vile.....

    kaka hamisi wala usikate tamaa kila leo dawa mpya inavumbuliwa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 11, 2010

    Huyo Modo Fide Ilanga ndiyo imekaaje hiyo tena jamani??? Mbona anamtia kwenye majaribu ndugu yetu mpiganaji Hamis wakati yeye ana kitu yake ya Kisouth!! Hiyo sio fresh.
    Mdau

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 11, 2010

    hivi we unayesema amwoe msouth hivi huelewi maana ya kuparalaiz mwili mzima? ina maana hata chakula cha usiku ni 0, sasa unataka aoe ili majirani wamsaidie kutafuna? fikirini kabla hamjatoa komenti
    jelly fish
    canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...