MAPINDUZI(CCM) KUGOMBEA KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI MKOANI IRINGA,DANFORD MPUMILWA AKIMWAGA SERA ZAKE KATIKA KIJIJI CHA UTEWELE WILAYANI HUMO.
MAPINDUZI(CCM) KUGOMBEA KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI MKOANI IRINGA,DANFORD MPUMILWA AKIMWAGA SERA ZAKE KATIKA KIJIJI CHA UTEWELE WILAYANI HUMO.
mwaga sera mzee Mpumilwa sisi wananchi sote tupo nyuma yako,
ReplyDeletetuna imani utatufanyia mengi ya maendeleo bora.
Mickey jones
mwanakijiji
Malafyale Danford , hapo mahala inelekea baridi ni kali.
ReplyDeleteUkitaka nije nikupe kura ninunulie sweta.
Utakuwa hutendi haki kuibatiza blog hii kuwa ni ya jamii wakati sijaona mhadhara wa Chadema kwenye blog yako, mhadhara ambao umekuwa gumzo kwa vyombo mbalimbali vya habari. Demokrasia haijengwi kwa misingi ya chuki. Binafsi sina hamu hata ya kuona matokeo ya watu corrupt toka CCM. Ona ni aibu iliyoje kwa waziri mzima kukamatwa na PCB kwasababu ya rushwa ya kura. Ama kweli Tanzania inaelekea pasipo sasa.
ReplyDeletekapigania nini mpaka unasema mpiganaji tupe data tumpe kula zzya ndiyo
ReplyDelete