MGOMBEA ANAYEOMBA KUTEULIWA NA CHAMA CHA
MAPINDUZI(CCM) KUGOMBEA KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI MKOANI IRINGA,DANFORD MPUMILWA AKIMWAGA SERA ZAKE KATIKA KIJIJI CHA UTEWELE WILAYANI HUMO.
MGOMBEA ANAYEOMBA KUTEULIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI,DANFORD MPUMILWA AKIWA KATIKA KIJIJI CHA ULEMBWE JIMBONI HUMO JUZI.(PICHA NA MOSES MASHALLA)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2010

    mwaga sera mzee Mpumilwa sisi wananchi sote tupo nyuma yako,
    tuna imani utatufanyia mengi ya maendeleo bora.

    Mickey jones
    mwanakijiji

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2010

    Malafyale Danford , hapo mahala inelekea baridi ni kali.
    Ukitaka nije nikupe kura ninunulie sweta.

    ReplyDelete
  3. Utakuwa hutendi haki kuibatiza blog hii kuwa ni ya jamii wakati sijaona mhadhara wa Chadema kwenye blog yako, mhadhara ambao umekuwa gumzo kwa vyombo mbalimbali vya habari. Demokrasia haijengwi kwa misingi ya chuki. Binafsi sina hamu hata ya kuona matokeo ya watu corrupt toka CCM. Ona ni aibu iliyoje kwa waziri mzima kukamatwa na PCB kwasababu ya rushwa ya kura. Ama kweli Tanzania inaelekea pasipo sasa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2010

    kapigania nini mpaka unasema mpiganaji tupe data tumpe kula zzya ndiyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...