Asante sana bwana michuzi kwa kazi nzuri ya kuhabarisha na kuelimisha jamii. Napenda kumsaidia mdau mwenye malalamiko dhidi ya TANESCO kuwa ili malalamiko yake yawe rasmi awasilishe kwenda customer.services@tanesco.co.tz
au afungue
ataona seheme ya customers na anaweza kuweka malalamiko yake
......from mtanzania mwema
Tatito maoni hayasomwi na hayafanyiwi kazi. Hili ni tatizo kubwa sana kwa mitandao ya serikali na ya umma. wanaweka contacts lakini hawarespond!
ReplyDeleteHiyo customer service ya TANESCO inatoa ajira kwa watoto wa vigo** na nyumba ndo** ila sio kusaidia wateja. Tutaendelea kutumia jukwa la GLOBU hii kuelezea maovu yenu.
ReplyDeletedawa ni kuruhusu makampuni mengine yauze umeme kuwe na ushindani
ReplyDeletekabla ya kucomment, ni vizuri ungetuma maoni kwenye hiyo email kisha usipojibiwa ndio ungekuwa in a position kuandika hapa
ReplyDeleteuwe na amani
ujumbe umefika au haujafika? kama haujafika au haufiki, basi na nyie (tanesco) mbona website yenu inatosha hakuna haja ya kujipamba kwa michuzi.
ReplyDelete