
Familia ya marehemu mchungaji Misheli wa Kigamboni, Dar es salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Singo Desire kilichotokea alfajiri ya leo katika hospitali ya muhimbili.
Maziko yanatarajia kufanyika jumatano wiki hii huko mjini bagamoyo. Narehemu amenza kuumwa akiwa nchini China mwezi mmoja uliopita ambapo alikiuwa akisumbuliwa na uvimbe kwenye kichwa.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na dada yake
angella msangi wa tbc one kwa namba
0782 297408 na 0713 297408 na 0758 297408.
Msiba uko kigamboni kwa mama yake.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe
-Amina
Hee! My Singo! Tulikuwa wote Makerere! Au sie huyu?
ReplyDeleteMay he rest in peace. Ndio njia yetu sote.
Mwenyezi mungu ndie mpangaji ya yote.. Jina lake lihimidiwe.
ReplyDeleteMama wa marehemu pole sana na mungu unayemtumainia akutie nguvu.
Poleni sana, mke na watoto mungu awatie nguvu.
Pole Angela, Ráfiki, Pascazie na mume wake( wakiwa Norway)
Familia yote ya Mchungaji.
Inna lilah wa Innailahi Rajiun....Tumetoka kwa Muumba na kwake tutarejea.
ReplyDeleteTulimfahamu Singo na alitufungua macho,alituonyesha dunia,si pale Tanzania hata na nchi za nje.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.Amen
For friend who has gone too soon. May his soul Rest In Peace. As his family goes through a trying time, my thoughts and prayers shall be with them.
ReplyDeletePaul Mbenna.
RIP man
ReplyDeleteOoh My words!! Kazi ya Mungu haina makosa, may u RIP my brother..u just had to be ahead of us but surely u are going to meet more of our relatives in there...
ReplyDeleteLet us all hope for better that oneday in heaven we will all be toghether with our almighty God in our midst!
F. Seth.
I cant believe it!!I went school with him Tosamaganga and didnt see him after all those years, and just saw him last april Dubai Airport he was travelling to China.
ReplyDeleteWords failed ME. May your soul rest in Peace , Pole kwa Marry Michael na ndugu wote. Maria
Kwa mke wake Carol, na watoto Daniel na David, poleni sana. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu sana. R.I.P my friend Singo.
ReplyDeleteVery sad!!! RIP Singo.Poleni sana ndugu wote.
ReplyDeleteDuh nakumbuka alikuwa Bouncer Dubai katika kumbi za Starehe
ReplyDeleteR I P singoe