Hayati Singo Desire
Familia ya marehemu mchungaji Misheli wa Kigamboni, Dar es salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Singo Desire kilichotokea alfajiri ya leo katika hospitali ya muhimbili.

Maziko yanatarajia kufanyika jumatano wiki hii huko mjini bagamoyo. Narehemu amenza kuumwa akiwa nchini China mwezi mmoja uliopita ambapo alikiuwa akisumbuliwa na uvimbe kwenye kichwa.

kwa mawasiliano zaidi wasiliana na dada yake
angella msangi wa tbc one kwa namba
0782 297408 na 0713 297408 na 0758 297408.
Msiba uko kigamboni kwa mama yake.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe
-Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2010

    Hee! My Singo! Tulikuwa wote Makerere! Au sie huyu?

    May he rest in peace. Ndio njia yetu sote.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2010

    Mwenyezi mungu ndie mpangaji ya yote.. Jina lake lihimidiwe.

    Mama wa marehemu pole sana na mungu unayemtumainia akutie nguvu.

    Poleni sana, mke na watoto mungu awatie nguvu.

    Pole Angela, Ráfiki, Pascazie na mume wake( wakiwa Norway)

    Familia yote ya Mchungaji.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2010

    Inna lilah wa Innailahi Rajiun....Tumetoka kwa Muumba na kwake tutarejea.

    Tulimfahamu Singo na alitufungua macho,alituonyesha dunia,si pale Tanzania hata na nchi za nje.

    Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.Amen

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    For friend who has gone too soon. May his soul Rest In Peace. As his family goes through a trying time, my thoughts and prayers shall be with them.

    Paul Mbenna.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2010

    RIP man

    ReplyDelete
  6. Ooh My words!! Kazi ya Mungu haina makosa, may u RIP my brother..u just had to be ahead of us but surely u are going to meet more of our relatives in there...
    Let us all hope for better that oneday in heaven we will all be toghether with our almighty God in our midst!
    F. Seth.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2010

    I cant believe it!!I went school with him Tosamaganga and didnt see him after all those years, and just saw him last april Dubai Airport he was travelling to China.
    Words failed ME. May your soul rest in Peace , Pole kwa Marry Michael na ndugu wote. Maria

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2010

    Kwa mke wake Carol, na watoto Daniel na David, poleni sana. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu sana. R.I.P my friend Singo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2010

    Very sad!!! RIP Singo.Poleni sana ndugu wote.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2010

    Duh nakumbuka alikuwa Bouncer Dubai katika kumbi za Starehe
    R I P singoe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...