Wadau Yunus Njovu na Joyce Saidimu muda mfupi baada ya kula Nondozzz zao za uzamili za MSc in Management and Development of International Financial Systems Chuo Kikuu cha University of Glamorgan huko Wales, United Kingdom, hivi karibuni.
Wadau wa Wales, United Kingdom wakiwapa shavu wadau Joyce Saidimu na Yunus Njovu waliokula nondozzz za MSc in Management and Development of International Financial Systems at University of Glamorgan in Wales. Kutoka kushoto ni Simon Berege, Calista Sangawe, Njovu, Joyce, Anjelista Msingwa na Kelvin Kunzugala.

Yaani Ankal kama ningekuwa karibu yako ningekupiga vikwenzi. Chuo Kikuu cha University of Glamogan ndio nini? This is becoming too much! Otherwise, hongera kwa waliograduate!
ReplyDeleteTeh mnyaluuuuuuuuu Anjelista nakuonaaaaaaaaaaaa mwaaaaaaaaaaah.Hongera wahitimu
ReplyDeleteCalista you rock mamaa.. Big Up!!
ReplyDeleteYunus Kaka, Hongera sana, miaka inakwenda sana mana ni hivi karibuni tu umeondoka na sasa umeshamaliza...hongera nyingi sana kwa wadau kutoka Zanzibar.
ReplyDeleteSimon Berege ndo yule aliwahi kuwa mwandishi wa habari wa MWANANCHI AU???? If it is him I congratulate him for doing further studies. Very intelligent guy. Hongera sana Simon.
ReplyDeleteHongera Yuno! We are proud of you. Ni furaha pale Baruti, Kigamboni, Kijichi Mgeni nani, Sumbawanga na hata Tandika na Luhira seko.
ReplyDeleteAnonym Tue Jul 20, 09:40:00 AM thanks, simon huyu ndo yuleyule Mwanahabari! Asante kwa pongezi pia. Berege
ReplyDeleteSimon Berege si ndo wewe ulonifundisha tumaini university Iringa...hongera kwenda kujiongezea mijinondoz...nami kajinondo kangu ninako bwana
ReplyDeleteAnonym Tue Jul 20, 08:14:00 PM nashukuru, Fanyafanya basi uje uongeze na huku mtaalam. Berege
ReplyDelete