Home
Unlabelled
oyise na suzana wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
congratulations Oyite and Susane, wishing you happy marriage.
ReplyDeletefrom,
Roby and Dora.
mmetoka chicha ile mbaya, you guys look awesome are you realy from Tanzania? ha haha haaaha!!
ReplyDeletewe wish you al the best
ze anko, mr & mrs g. malunda
congrats guys
ReplyDeletewish you a wonderful life
Kamasho & Happy
ahahahahah Oyite condrats sana tena sana bro wangu, u have taken a very important step. I wish u a happy marriage! Stay blessed!
ReplyDeletejamaa anaitwa oyite a.k.a ndonga!hongera sana
ReplyDeletemmependaza sana ndugu zanguni, muishi kwa upendo huohuo ulioanza nao.
ReplyDeletefrom
Dora
Oyiteeeee! Duh tunakukumbuka umetutoa sana Financial na Cost Accounting. hongera sana i wish you a happy marriage life.
ReplyDeleteWadau.
ReplyDeleteRaha ya Bongo bwana, unaingia mahala na kuchagua kitu ndani ya box!!!!
Nkyabo - Bongo
We Nkyabo vipi?
ReplyDeleteKwani mbona sioni ka huyu ni mzuri kushinda mzungu? Acha majungu kila mtu anachoice yake, eti kitu na box bongo kwani bongo wanene hawaolewi mbona mimi napenda wanene na ninakitu na box (bonge) and What matters is love.
We anyonymous wa Tue Jul 27, 09:55:00 AM dunia hii bila jokes mambo hayaendi, nilikuwa natania. Binafsi nimewahi kuishi na rafiki wa kike mzungu, achilia mbali umbile, wako tofauti saana na waswahili wetu, maana kiuchumi kila kitu mnasaidiana, ni tofauti na waswahili wetu (japo si wote), ambao kwa kiasi kikubwa wanapenda mume ahangaikie matumizi yote.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
dogo mmetoka kupita maelezo. hongera sana kwa kufikia hatua hii. welldone
ReplyDeletefrom radost & flora