Mkuu wa mfumo wa Mawasiliano wa Shirika la Ndege la Precision Air Gardy Mbala (Katikati)akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za shirika hilo ambapo mteja atweza kupata huduma za usafiriki kupitia Simu za mkonini kwa kutuma ujumbe wa PW SMS -15700 (kulia) Meneja Masoko wa precision Air Emillian Rwejuna na Mkuu wa Biashara wa shirika hilo Phil Mwakitawa.Meneja Masoko waShirika la Ndege la Precision Air Emillian Rwejuna (kulia)akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na uzinduzi wa huduma mpya ambayo msafiri anaweza kupata habari za huduma mbalimbali za shirika hilo kupitia simu ya mkononi kwa kutuma neno PW SMS 15700 (katikati) Mkuu wa mfumo wa Mawasiliano wa Shirika hilo Air Gardy Mbala na Mkuu wa Biashara wa shirika hilo Phil Mwakitawa, uzinduzi huo ulifanyika jana makao makuu ya Precision Air Jijini Dar. Mkuu wa Mfumo wa Mawasiliano wa shirika la ndege la Precision Air Gardy Mbala (kushoto)na Meneja masoko wa shirika hilo Emillian Rwejuna wakizindua huduma mpya ya ujumbe mfupi wa simu ya mkononi ambayo mteja inamuwezesha mteja/msafiri kupata taarifa mbalimbali za safari kwa kutumia simu ya mkononi kwa kuandika ujumbe mfupi kwenda PW SMS-15700.Uzinduzi wa hudua hiyo huo ulifanyika makao makuu ya ofisi za Preciaion Air jijini Dar. Mkuu wa Mfumo wa Mawasiliano wa shirika la ndege la Precision Air Gardy Mbala (kushoto)na Meneja Masoko wa shirika hilo Emillian Rwejuna waonyesha yenye ujumbe wa taarifa za safari za shirika hilo baada ya kuizindua huduma mpya ya kupata taarifa mbalimbali za safari kwa kutumia simu ya mkononi, mteja akituma ujumbe mfupi wenye neno PW SMS kwenda namba 15700 atapata taarifa hizo, Uzinduzi huo ulifanyika makao Makuu ya Ofisi za Precision



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. casino I recently got a revenue-sharing offer on one of my more popular YouTube videos, but I’m not sure if I can legally take it or not. Google will automatically send out offers to YouTube users to turn on revenue-sharing for their popular videos. The video in question is tutorial on how to play popular Guns N Roses song Sweet Child Of Mine.. on ukulele. The arrangement that I teach on ukulele is completely my own, is in a different key than the song is normally played in, uses some different chord progressions, and leaves several parts of the real song out. It’s recognizable, but still very different. There are also no lyrics in the video and the arrangement is intended to be instrumental only. Does fair-use protect me in this instance? Would I be able to enable revenue-sharing for this video? Even if fair use did protect me, I’d wonder if Google would be too nervous to approve the video for revenue sharing anyway.. What do you think? fullbet

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2010

    wadau vipi kama niko nje naweza kata ticket online nikaunganisha safari za ndani humo?.mdauz

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2010

    UNAWEZA KUKATA TICKET UKIWA MAHALA POPOTE PALE DUNIANI YA NDANI YA TANZANI AU TOKA NCHI YOYOTE KWENDA AU KUTOKA TANZANIA KUELEKEA MAHALA POPOTE, NIPO UK NAMKATIA MTOTO WANGU TICKET TOKA NAIROBI KWENDA DAR ES SALAAM (RETURN) KILA ANAPOKWENDA LIKIZO NYUMBANI ANASOMA NAIROBI S0 IT IS POSSIBLE TO GET A TICKET FROM ANYWAHERE IN THE WORLD FOR INTERNAL ANA INTERNATIONAL FLIGHTS TO AND FROM TANZANIA, TENA NAKATI AIRLINE HII HII

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2010

    Where is gender balance in my lovely country? Aghhrrrrrrr....in all companies are the same things. With all the women graduating everyday you want to tell me there is no one ever qualify to be a so and so manager? This is not fair..

    Ndio maana sitaki hata kurudi home...There is no opportunity of growth for women at all in many work places. No matter what you do, how you do it or the qualification you have ...they just look at your gender and pass it to themselves...Do you afraid of women challenges that much? And guess what women we get things done on time, No longolongo at all and when we finish working we go straight home to start a second job and that is taking care of our family, ....If we need to develop we need to change

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2010

    Anon Jul 14, 08:24
    Kwani huwa hufuatilii mashindano ya ma-Miss. Unaonekana u mgeni hapa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2010

    Michuzi umebania comments zangu but ukweli ni kwamba precision wanahitaji kubadili na kuboresha huduma zao kwa wateja hasa kauli zao kwa wateja weusi/watanzania.

    Huduma zao za ndani ya ndege pia zoboreshwe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 15, 2010

    anony Wed Jul 14, 10:59:00 PM kula tano. jibu tosha kabisa. mimi ni mwanamke lakini hizi politiki za gender zimenikalia kushoto.
    dada unatakiwa kupewa wadhifa kama unastahili na sio kwa sababu ni mwanamke.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...