Home
Unlabelled
rashidi matumla kupambana na Mada Maugo julai 18, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rashid Matumla nakushauri utafute kazi nyingine hii ya kupigana naona umechoka. Kumbuka enzi zako lakini siku hadi siku unazidi kuporomoka sijui hili unaliona au ndiyo hivyo kuganga njaa. Tulikua wapenzi wako enzi hizo lakini tumekatishwa tamaa na matokeo ya hizi siku. Tunaomba upumzike
ReplyDeleteNi kweli nakubaliana na mchangia mada hapo juu, huyu jamaa nilimuona siku moja ktk Channel 5 akipigana Birmingham na mzungu moja mchovu lakini Matumla alikula kibano na akasalimu amri round za mwanzo kabisa.
ReplyDelete