Habari Wadau,

Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba 3 au 2 iwe na sitting room, dinning room na iwe na geti pamoja na car parking area. Kwa ufupi nyumba iwe ktk hali nzuri.

Mahala iwe Sinza, Dar es salaam.

Kama una amini unayo taarifa tafadhali nipigie simu kupitia 0754 935260.

Nashukuru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2010

    Sinzaaa, kunanini huko jaman, kila mtu anataka kukaa sinza na dada zetu nao ukiwauliza wanapokaa watakwambia sinza, waigizaj sinza, wanamziki sinza.. inabid nije nipaone... all the best utafanikiwa tuu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2010

    wewe si mtafutaji !!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2010

    Hello Mdau

    Piga number hizi 0715684244 au 0756684244 anaitwa mama Isaac, huyu mama anaweza kukusaidia, mweleze shida zako, amesaidia wengi na nyumba zake ni za ukweli utashindwa wewe, ila mweleze hadhi ya nyumba unavyotaka wewe.

    Ukipata rudi hapa kwa Ankal kushukuru.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2010

    sinza kwa wajanja

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2010

    Nenda kwa madalali kibao hapo DSM watakupatia nyumba mara moja huko Sinza unakokutaka. Unapojitangaza kwenye Michuzi blog, je madalali watakula nini? Ushauri wa bure!! Heshimu kazi za watu bwana. Mbuzi hula kwenye urefu wa kamba yake!! peleka hiyo hela wakapate riziki na wewe pia utapata nyumba kwa wakati mwafaka.
    Mdau

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2010

    ILA MADALALI SOMETIMES NUKSI. Ole wako upambane nao ndo utajua madalali u-nuski wao.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2010

    Mh.....

    Kwa hio hiyo namba ya anaetafuta nyumba tupige au? Asije akapokea muhusika, au ndio kweli hayupo?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2010

    nyoo madalali wanatamaa sana, nawachukia kufa vigeugeu waongo wanapenda kuongeza cha juu, wanafanya hadi wenye nyumba kupandisha kodi, walala hoi hawana mpango ni wezi flani kazi kunuka jasho bin kikwapa kama wale wa pale namanga, msasani ,ushuzz mtupu, ishu ziletwe blogu ya watu aka blog ya jamii, aaah utafanikiwa tuu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2010

    Huyo alokwelekeza kwa dalali ni dalali pia. Haya ni wezi wakubwa wanyonyaji, kupe na *///*/*(&%&*%^£%^ zao sitaki kuwaona. Wakati natafuta nyumba nilitumia madalali wawili mmoja Sinza Africa sana na Mwingine kijiweni. jioni moja yule wa kijiweni akapata nyumba 150,000/= tukakubaliana na mwenye nyumba kesho yake nikalipe hela ya mwaka mzima ndoo masharti hayo. Dalali wa kijiweni kanipigia eti kuna nyumba bomba nikaione, bnikamwambia nimeishapata aksante.
    Kesho yake saa nne naenda kulipa mwenye nyumba kagoma eti kapangisha shirika. Yule dalali alisikitika kweli.
    Nikamkumbuka wa kijiweni nikampigia akadai bado ipo 250,00/ hadi 200,000/= basi nikaenda kanipeleka pale pale. Mwenyenyumba akanikumbuka na kujibalaguza. Yule dalali halikuwa hajaelewa kilichotokea akatukana sana kwani alishampigia simu kabla ya sisi kwenda hapo. Kumbe kamwambia mwenye nyumba nakuletea mtu wa 200,000/ sasa hivi. Nikagoma nikaacha, nyumba hiyo (Upande ilikaa karibu miezi miwili bila ya kumpata wa 150,000/ ndo baadaye wakapangisha 140,000/=. MADALALI WENGINE NUKSI kabisa.

    Observer

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2010

    madalali wanini, waongo na wezi kazi yao kupandisha dau tofauti na mwenye nyumba anavyotaka, umefanya la maana kujitangaza kwenye blog ya jamii, utapata tu nyumba na namba za simu ndio kama hivyo usha pewa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 12, 2010

    madalali matapeli sana na hawafai. niliacha kutumia madalali muda mrefu sana. walivjo stupid anakupeleka kwenye nyumba ambayo hata mwenyewe hamjui. halafu wanataka eti wapewe commission one month rent pande zote mbili, sijui sheria ya wapi. ufahamu wangu commission hutolewa na alopokea kodi na sio alolipa. hiyo ndio sheria ya kila mahali, sema watanzania tumewaharibu kwa kudhani ni haki yao kupewa na wote wawili. tuamke na tujue kua pesa wanalipwa kwa alopokea kodi na si kwa alolipa. ukipitia kwa proper estate agents wanaojua sheria hawachukui pesa kwa mpangaji. all the best kaka, hapa utapata bila usumbufu, hoping hakuna madalali humu atakayekukera.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 12, 2010

    Kuwa makini sana na hao mama fulani, wengine wezi kupindukia tena kwenye maebeo hayo unayohiyaji. Waweza pangishwa nyumba hewa. Nimeyaona!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 12, 2010

    Jamani watanzania tutumie Elimu zetu vizuri, Inavyoonekana huna haraka na nyumba, ukiwa na haraka na nyumba kwa madalali umeliwa. Ila nina hakika dalali Elimu yake haizidi anayetaka nyumba, wengi madalali ni std SEVEN, kwa nini wakuzidi ujanja?

    Cha msingi wacha akupeleke, ukishaiona nyumba, kabla hujamuona mwenye nyumba, mwambie dalali huyo maeneo huyapendi akutafutie maeneo mengine kisha njoo badaye umtafute mwenye nyumba ongea naye na utapata nyumba.
    Dalali asikushinde ujanja-Ukishindwa ujanja na dalali std SEVRN Ujuwe elimu yako Mashaka.

    Lingine ni kuhusu anonmous wa Mon Jul 12, 01:11:00 PM, Hajuwi unalolisema, Pesa ya dalali unatoa wewe kwa maana mwenye nyumba atapandisha ili kufidia ya dalali.

    Na wewe mpangaji Kuwa kama mbayuwayu changanya akili zako na maoni ya humu Blogin utapata nyumba unayoitaka.

    NAwakilisha!

    ReplyDelete
  14. TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!TANGAZO!TANGAZO!TANGAZO!

    NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA IWE NA VYUMBA VITATU NA PARKING MAENEO YA KINONDONI GHARAMA ISIZIDI LAKI 200,OOO.
    KWA TAARIFA WASILIANA NAMI KWA EMAIL: hjkiranga@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 25, 2013

    Natafuta vyumba vya kupanga msasani. Chum a kimoja ch a biashara. Na chukua kingine Kwa ajili ya duka.

    Mobile 0767665353

    ReplyDelete
  16. TANGAZO TANGAZO NATAFUTA FRAME KWA AJILI YA BIASHARA NA ZIWE KWENYE LOCATION NZURI YENYE MZUNGUKO WA WATU KWA MWENYE UWAKIKA WA TAHARIFA ZA FFRAME HIZO PIGA NAMBA0620507846 IKIWA NI DALALI AU MTU BINAFSI ASANTENI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...