Shear Hair & Beauty - Jarida pekee Africa Mashariki na Kati la mambo ya nywele na urembo toleo jipya litapatikana mnamo tarehe 6 Agosti katika ukumbi wa Mzalendo Pub, Millennium Towers katika sherehe ya uzinduzi wa Album mpya ya Lady Jay Dee na Machozi Band. Nunua nakala yako moja tu kwa bei ya Tsh.5,000 ujipatie copy moja ya Combination Album CD Origino Bure!…. ...... ........
Shear Hair & Beauty Magazine will be available at Lady Jay Dee's & Machozi Band Album Launch that will be held on 6th of August 2010 at Mzalendo Pub, Millennium Towers. Buy 1 Copy of Shear Hair & Beauty at Tsh.5,000 Only and get a free Original CD of Lady Jay Dee’s Combination Album 2010.



Mbona nanihii yenyewe nusu!! jamaa anabondea shule eti wenye degree na PHD, sasa wewe mfuate uone kama na wewe utafanikiwa. Nadhani Tanzania ndio nchi peke yake ambayo unaweza kuwa mkurugenzi bila kuwa na shule ya maana.
ReplyDeleteTuwekee na hiyo sehemu ya pili basi tumsikie anavyotuchambua wasomi.
Mdau N. America
anon 08:10:00AM above
ReplyDeleteLooks like you posted your comment under the wrong heading... lol
we jamaa wa kwanza hahahahahahahahahahahahahahhaha kudadeki walahi mbona comentyako haina uhusiano tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
ReplyDeleteYani nusu nidhani ni Shyrose Banji huyu anaolewa !
ReplyDelete