UONGOZI wa klabu ya Simba umemtaka kocha wake Patrick Phiri kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa njia ya mtandao, wakati huo huo klabu hiyo imemtangaza kocha mpya raia wa Serbia Cirkovic Milovan kurithi mikoba ya Mzambia huyo.
Simba imefikia hatua hiyo kutokana na kocha huyo raia wa Zambia ambaye aliiwezesha kutwaa ubingwa msimu uliopita kwa mafanikio makubwa akiwa amecheza mechi zote za Ligi Kuu bila ya kupoteza mchezo hata mmoja kutokana kuchelewa kurudi kutoka kwao ambako alikwenda kwa mapumziko.
Hata hivyo kocha huyo aliweka wazi hawezi kurudi kwa sasa na hajui hatarudi lini nchini kuendelea na kibarua chake kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Kufuatia hali hiyo, uongozi wa Simba chini ya mwenyekiti wake Ismail Aden Rage umemtaka ajiuzulu kwa ajili ya kulinda heshima yake kabla ya kumchukulia hatua zaidi za kinidhamu.
Kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo Evodius Mtawala alisema jana kuwa "Iwapo Phiri hatotii agizo hilo la kuandika barua ya kujiuzulu, tutamchukulia hatua za kinidhamu, sisi tumemtaka afanye hivyo ili kulinda heshima yake."alisema.
Kwa mujibu wa Mtawala Milovan anatarajiwa kuwasili nchini muda wowote kuanzia sasa kusaini mkataba wa miaka miwili tayari kwa kuinoa timu hiyo ambayo ipo mafichoni visiwani Zanzibar chini ya kocha wake Sillarsaid Mziray. Milovan aliwai kuifundisha Simba mwaka juzi kwa muda wa miezi mitatu na kuondoka katika mazingira ya kutatanisha.
BWANA SIMBA HAINA KITU. IS THE DEAD OF FOOTBALL. I AM GONE TO CCM AND IS BE MINISTER OF FOOTBAL MIMI KAMA MSOMI WA MUZMBE WA CHUO KIKUU CHA KULE MOLOGOLO AMBAYE NIMEBOBEA KATIKA MASWALA YA UATWALA KUTOMA MASTERS YA CANADA NA MBA YA WOLSTRTI NA KEMPINSIKI YA KILIMANJALO HOTEL I SAY ASK THAT THIS IS CORRUPT OF GOVENRMENT OF TANZANIA. I AM NOT IS PRESIDENT OF ALL DHE PEOPLE, BUT I WAS IN MUZUMBE AND HE WAS GETING IN DGREE OF ECONOMY AND WANTS ALL TANZANIA TO BE DEVELOPMENT. DONT LET MINISTER TO LEAVE MASAKI AND CAMPAINGS CCM TO BE PRESIDENT AGAIN. SO RIZIWANI, DR. JOHN MASHAKA AND PROF SHAYO WAS THE PREDISENT OF 2015 OF TANZANIA, WE HAS TO ZIMBABWE AND BECOMES KOMREDI MUGABE OR TO SOMALIA AND MUJAHEEDEN TO LEAVE TANZNAIA OF CORRUPTY. WE LOVED THE PATRIO ADN THE COUNTRY LIKE NYERERE AND THIS IS NOT GOOD, FOR THE MINISTER TO BECOME MORE POWER IN GOVERNMENT AND LEAVE THE OFFICE, SO I GO TO NBA OF MEMPHIS WITH HIS HIGHNESS HASHEEM THABEET AND WOLSTRIT OF AMELIKA OF NABII YOHANA MASHAKA AND BECOMES THE PRESIDENT OF TANZNAIA WITH RIZINWANI AT STATE HOUSI OF IKULU YA KIVUKONI.I SEE WE BECOME LOST IN THE SEA IF WE LEAVE PARLIAMENT OF DODOMA AND BECOMES POWERFUL AND MZEE WA VIJISENTI AND ROSTAM AZIZIZMA AND MZEE LOWASSANA OF MONDULI SHINYANGA SO I SAY THIS IS CORRUPTY TOO MUCH OF TANZANIA
ReplyDeletePETER NALITOLELA
Bravo Paulo Kamau, umeshuka tena mtu wangu! Hawa wabongo wenzangu noma sana, yaan hujakosea kitu mwanangu!
ReplyDeleteKeep it on
Chiaaaz Mchizi
hivi kwa nini yanga na simba wapenda sna makocha wa Serbia? au kwasabu wapo cheap ndo wanakuja kujifunzia u kocha tz ?
ReplyDeletePETER NALITOLELA, YOU SAID ALL. GOOD ARTICLE!
ReplyDeletethenki yuu pita nalitolea
ReplyDeleteTaarifa nilizonazo ni kwamba Phiri anarudi wiki ijayo inayoanzia tarehe 2-8-2010. Yanga walikuwa wakishabikia sana habari hizi sasa jitayarisheni kiboko yenu anarudi!
ReplyDeleteWasbeia wanapenda kuja kwenda sababu wanapata mtelelo wa maisha. Kwa nini wasiende ulaya magharibi kufundisha?
ReplyDeleteWazungu wanahaha kwao sasa wanakuja huko Africa kwa njia tofauti ikiwemo ualimu, ukocha, etc.