

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU PWEZA KIGEUGEU,
ReplyDeleteNimeamini PWEZA ni SHETANI!!
ReplyDeleteYote hii ni mipango Mungu nani alijua kutakuwa na pweza kombe hii.Hakika siku zinakalibia tumrudie Mungu.
ReplyDeleteMdau Lusungo Ipinda Kyela
Huyu Pweza ni muongo, amekuwa anabahatisha tu kama afanyavyo Sheikh fulani wa pale Magomeni karibu na Mwembechai.
ReplyDeleteNa mimi natabiri kuwa kombe la Dunia litachukuliwa na timu kutoka bara la Ulaya, kuna anayebisha??
Hata mimi naweza kutabiri kama ndo hivo.
ReplyDeleteKama kweli ni mtabiri basi alitakiwa atabiri na mechi nyengine pamoja na idadi ya magoli.Kwa kuwa ana mikona 8 atakua na uwezo wa kutabiri hata matokeo ya 4-4 au 6-2 n.k.
Hii mizungu mijinga sana
Tutoleeni ushirikina wenu na huyo pweza. Tena asije akawa-jinx spain.
ReplyDeleteMi nasema atashinda Netherlands, ndio mjue kuwa ushirikina wa huyo pweza haufanyi kazi.
Anabahatisha tu huyo, hamna lolote.
WAZUNGU NDIO WACHAWI NA WASHIRIKINA WA KUTOSHA NDIO MAANA MICHEZO KIBAO YA KICHAWI KISHA WANASINGIZIA AFRICA NDIO KUNA JUJU.HISTORIA INAONESHA WAZUNGU WALIKUA WAKITIBU WAGONJWA KWA KUTUMIA USHIRIKINA KABLA WAARABU HAWAJAVUMBUA SAYANSI YA KUTUMIA DAWA..SOMA HISTORIA,HATA MIMI NILIJUA HOLLAND ATAMFUNGA BRAZIL NA SPAIN ATACHEZA FINAL LAKINI ATATOLEWA TU euro2008 alitabiri atashinda German na mbona kashinda Spain?(THIERY HANDBALL)
ReplyDeleteKinyau nyau kikia cha pweza! Mwataka mambo hamtoyaweza!
ReplyDeleteMie n'na wangu nyumbani (home sweet home), Haloooo! Mambo yangu burudani!
Eti pweza wa Ujerumani!
Pweza my *ss!
Hembu ataambae zake huko! Kwanza hapo hajajisongesha mwenyewe hiyo hicho kiboksi chenye bendera ya Spain! Kapachikwa huyo tu hapo!
Tutaona sasa after 90 Mins or 120 mins whatever the case, kama huyo pweza anabahatisha au la!
Asitake kuwatia NUKSI Spain!
Hembu mie!
Naona watu duniani wanavyoacha amri ya kwanza na kushabikia ushirikina.
ReplyDeleteHizo ni chuki tu za Wajerumani kwa Wadachi wameona wao wamefungwa na Wahispania kwahiyo wanataka na Wadachi nao wafungwe dua la kuku hilo.........
ReplyDeleteWatu washirikina! Sijawahi kuona!
ReplyDeleteHicho kijipweza cha Ujerumani hicho! Full Juju!
Shame on it!
Na kishindwe!
habari za pweza na ushindi wa Hispania ni "koinsidensi"
ReplyDeleteUtabili umetimia!!! nyie mnaosema uchawa wazungu wanaongoza hamjakosea maana baada ya utafiti kukamilika iligundulika Paris ndio jiji linalo ongoza kwa kuamini na kutumia nguvu za giza dunia.
ReplyDeleteHuyu pweza mwanga.
ReplyDeleteHuyu pweza ni game of chance. Scientifically, huo utabiri wake haukuwa valid,even if the outcome was positive, it was just chance. Kisayansi, kuna kitu kinaitwa control experiment. Alitakiwe awekewe maboksi matatu, mawili na hizo bendera na la taut lisilo na bendera yoyote. Then tungeona huo utabiri wake. All in all Spain deserved to win. Na Tanzania sasa tuamke kwenye soccer angalaua tuwakilishe 2014 kwenye Afcon.
ReplyDeleteSEMA KOISIDENSE WHAT EVER GENTLEMAN HUYU SI PWEZA NI SHETANI KAMILI ANATAKA KUTUTEKA LAKINI DUHH NOMA KISHENZI
ReplyDeleteBahati yake ni kwamba ubashiri wake umekuwa correct, angekosea, leo angekuwa supu ya pweza
ReplyDeleteWakatabahu
WALA PWEZA OYEE!
ReplyDeleteSIJAWAHI KUMLA NA SITAMLA KAMWE, MNYAMA GANI ANATABILI.
HAPA BONGO TUNAAMINI KAKAKUONA ANATABILI, LAKINI HALIWI.