Wadau wote wa majadiliano baina
ya mdau wa Kabul na Mdau wa Dar-Moro
Naona haya majadiliano yameamsha maoni mengi sana ya wadau wa blogu hii ya jamii. Asante sana kaka Michuzi kwa kazi yako nzuri. Napenda kukubaliana na wiadau wengi waliosema kwamba saa nyingine sisi wabongo tunapenda sana siasa za kuongea hususan humu kwenye mablog kwa kuwa hakuna utambulisho maalumu.

Nitajaribu kufupisha majibu yangu ili nisiwachoshe wengi na kuingia kwenye lile kundi la wabongo wanaopenda siasa za porojo za mitandao. Nilichokuwa najaribu kusema kikwete hakuwa na nia ya kuwapotosha wananchi aliposema kwamba hakuna shule ya kusomea urais. Labda wewe mdau ndio hukumuelewa, lakini sisi tuliolewa kanga na T-shirt za CCM tulimuelewa sana.
Na nilishangaa kwamba ulikubali huna data halafu hapohapo ukasema hajafanya lolote. Hapo tu ndio tulipotofautiana. Kwa kukusaidia zaidi na wadau wengine wote mliocgangia hoja hii, Ilani ya CCM ya 1995-2000 na ile ya 2000-2005 ndio iliyotekelezwa na Rais wa awamu ya tatu alipokuwa madarakani.
Kwa Rais Kikwete kuahidi kuendeleza mazuri yalyofanywa wakati huo ndio kumalizia hata huo ujenzi wa barabara na kadhalika. Kiutendaji hakuna watu wanaofanana na binadamu yeyote ana mapungufu na hiyo hata kwa viongozi wetu. lakini pale ambapo kazi imefanyika, tuseme tu imefanyika. Nimetafuta huku kwenye neti nimepata ilani ya CCM 2005-2010, naomba wachangiaji kabla ya kuchangia muangalie hiyo ilani.
Ina maelezo na data nyingi kuliko zile nilizozitaja. Malengo yalikuwa kumalizia barabara kadhaa ambazo hazikujengwa kiwango cha lami, na kuanza nyingine 11 kwa kiwango cha lami. Niliahidi maneno machache, naomba mpokee hiyo ripoti, nawashukuru wadau waliyoweka ripoti hii hewani na wote mliochangia akiwamo Mdau wa Kabul....ulisemaje kuhusu mabomu??
Utekelezaji
- Serikali ya Awamu ya Nne ilikuwa na jukumu ka kukamilisha miradi 17 ya barabara ambayo ilianzishwa na Serikali ya Awamu ya Tatu. Miradi iliyokamilika ni: Singida- Shelui (km 110); Shelui- Igunga- Nzega( km 108); Nzega- Ilula (km 138);Muhutwe- Kagoma (km24); Nangurukuru- Mbwemkulu- Mingoyo (km 190); Mkuranga- Kibiti (km 121); Pugu- Kisarawe (km 3.6); Chalinze- Morogoro- Melela (km 129); Tunduma- Songwe (km71); Kyabakari- Butiama (km 11.4); Dodoma- Morogoro (km 256);Dodoma – Manyoni (km127); Buzirayombo- Kyamyorwa (km 120); Buzirayombo- Geita (km100).
- Miradi mingine mitano iliyobaki ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kama ifuatavyo:Manyoni- Isuna (km 54), kilomita 34 zimekalika. Kagoma- Lusahunga (km 154) kilomita 15 zimejengwa kwa kiwango cha lami. Kidahwe- Kigoma (km 36) kilomita 35 zimekamilika. Usagara – Chato –Biharamulo (km 220) kilomita 78 zimekamilika Ndundu- Somanga (km 60)- ujenzi wa makalvati na tuta umefika asilimia 50.

• Kazi ya ujenzi imeanza katika miradi 10 kati ya 11. Kati ya miradi hiyo:
Barabara za Sam Nujoma na Kilwa imekamilika; Ujenzi wa barabara ya Tarekea-Rongai- Kamwanga (km 32) umekamilika; Arusha- Namanga ujenzi umefikia asilimia 25; Msimba- Ikokoto- Mafinga (km 124), kilomita 45 zimekamilika kwa kiwango cha lami; Tunduma- Sumbawanga (km 224) mkandarasi amepatikana; Tanga- Horohoro (km 65) Mkataba wa ujenzi ulitiwa saini Desemba 2009 na ujenzi kuanza rasmi Aprili 2010; Minjingu- Babati- Singida (km 224) Mkataba wa kuanza ujenzi ulitiwa saini Januari 2009 na kazi imeanza.
mdau dar-moro

mdau wa dar-moro,inaonekana una data fulani fulani,hebu twende kwenye mambo mazito yaliyoitia nchi umaskini,je mh rais kachukua hatua gani dhidi ya mafisadi wa EPA,KAGODA,MEREMETA,RADA,RICHMOND,KIWIRA,KUNA WEZI WA MBOLEA/RUZUKU YA WAKULIMA SUMBAWANGA[BILLIONS SIO SENTI].
ReplyDeletehayo maendeleo uliyotaja ni nothing compare to hasara ya ufisadi niliotaja hapo juu.
NB:mjumbe hauawi mr michuzi.
Ufisadi/ Wezi wote uliotaja hapo juu, umetokea wakati wa Mh. Mkapa. Pili hasara yake sio kubwa kama maendeleo yaliopatikana japokuwa hiyo hasara haikutakiwa kutokea.
ReplyDeleteMdau wa 01:08:00 AM, mbona hizo scandal zoooote ulizozitaja Radar (2003-2004, Richmond (mid-2005), Meremeta (2003-2005),EPA (2002-2005), zilitokea wakati wa awamu ya Mh. Rais Mkapa? Tuhuma za Kiwira zilimgusa yeye ijapokuwa sasa inajulikana Mh. BM alipotoshwa na mmoja wa mawaziri wake. Chuki zenu ndizo zinalenga kupotosha ukweli. Ukweli ni kuwa waliohusika na sakata la radar, kiwira, meremeta, etc etc hawakuchukuliwa hatua wakati kashfa hizo zilipojulikana kabla ya mwisho wa 2005 wakati wa awamu ya tatu iliyosifiwa saaana na mdau wa kabul; mbona mmengoja mpaka sasa ili muitaje badala ya kuthubutu kusema wakati wa uhalifu???
ReplyDeleteNa vipi suala la kuboresha barabara ambazo tayari zimesha tengenezwa?kwa mfano Arusha-Dar? Hivi bara bara zita haribika tena na kutumia gharama kubwa kuzitengeneza. Serikali yetu haioni hivyo? Huku nje wawekezaji wanaongelea kuhusu uwekezaji Tanzania lakini wana sita sana kuhuusu our infrastructures zikiwemo barabara mbovu. Kama kweli Tanzania wana nia ya kuitangaza Tanzania ni nchi nzuri ya uwekezaji, basi kikwete na serikali yake waangali hilo. Other wise siwezi kusema lolte kuhusu utendaji wa kikwete kwa sababu hauna tofauti kubwa na uongozi mwingine wa Africa.. ni mila zetu na sisi kama waafrika tunaona its ok.
ReplyDeleteWAMESHINDWA WALIO TANGILIA HUYU HAWEZI HATA KIDOGO HUO UJENZI KAJENGA WAPI? NA ULIZA GHARAMA ZAKE UTAKIMBIA NI BORA NAHALI YA ZAMANI KULIKO SASA KILA MTU ANATAKA KULA KILA KITU HAWANA HATA CHEMBE YA HURUMA NA NCHI YETU, VITU VYA MSINGI HAWATAKI KUVITOLEA UKALI LAKINI NJOO KWENYE MAMBO YA AJABU UTASHANGAA MANENO YANAVYO KUWA MENGI, HAKUNA KIONGOZI WA TANZANIA KATIKA CHAMA TAWALA AMBAYE ANAJALI WATU WA CHINI WOTE WAPO KWA AJILI YA MASLAHI YAO BINAFSI
ReplyDeleteTatizo watu tumekuwa wanafiki kama utawala wa Kikwete haufai ni vizuri kusema ukweli, yeye kashindwa kuwatoa machoni mafisadi kwa yeye hofu yake nini? kama kweli Kikwete ni mtu safi basi na auoneshe uma wa watanzania kuwa hapendi utani katika kazi.
ReplyDeleteKikwete jaribu kuwa makini na kazi tabia ya kucheka hakuna mtu wa namna hiyo katika viongozi walio barani afrika ni wewe peke yako ndio un mambo ya kushangaza mpaka tunajiuliza jeshini ulikuwa mwalimu au ulikuwa askari mpiganaji