01. Afisa habari wa Vodacom Tanzania Kilasa Mtambalike aliyesimama(kulia)akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo walioingia tano bora katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Temeke mara baada ya kutembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa mashindano hayo. Watatu toka kulia waliokaa ni Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon.

Oya Dolaman, huyo mtoto mwenye shati la draft yuko magoli sana, nimegee namba yake kama vipi...oi oi oi
ReplyDeletemkiambiwa kuna kivazi cha ofisi mnabisha, sasa ona ma-miss wanavyopata tabu kumziba afisa.
ReplyDeletesasa kwa wale watafuta wake nenda kwenye umiss mnaruhusiwa kuchangua kwa wale walioshindwa tano bora !!
ReplyDeleteJamaa! Oops, angalieni macho ya Mzee Mbonde na Rwehumbiza yalipoelekea... tehe tehe tehe tehe...
ReplyDeletemiss tmk wamejitahidi kidogo kuliko wilaya nyingne za dar,at least warembo wao wana haiba ya ulimbwende
ReplyDeleteDuh Mzee mbonde.....hapo huwezi ona kitu labda utoe miwani..haya majina ya kina Mbonde huwa wabishi sana....
ReplyDeleteMdau 3rd Floor
sina la kusema leo wadau hahahaaa,mmefurahisha siku yangu!
ReplyDeletejumanne 13 July 2010
aya na wewe Kilasa tangu lini tena?
Amigooooooooooo nimekukubali mwana, bado sasa tukupe U-DC make naona baada ya kuoa au unasemaje Dolaman?
ReplyDelete