02. Muandaaji wa Miss Temeke Ben Kisaka wapili toka kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru Tuzo ya shukrani kwa udhamini wao katika shindano la kumtafuta mlimbwende wa Temeke,kulia Miss Temeke Genevivu Emmanuel,Mkuu wa Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza(kushoto)Mshindi wa pili miss Temeke Anna Daud.
03. Afisa ustawi wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Ndihagati Biduga akiwafafanulia jambo warembo walioingia tano bora katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Temeke mara baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo,anaeangalia kulia ni msambazaji wa barua wa kampuni hiyo Rashid Mbonde.

01. Afisa habari wa Vodacom Tanzania Kilasa Mtambalike aliyesimama(kulia)akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo walioingia tano bora katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Temeke mara baada ya kutembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa mashindano hayo. Watatu toka kulia waliokaa ni Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2010

    Oya Dolaman, huyo mtoto mwenye shati la draft yuko magoli sana, nimegee namba yake kama vipi...oi oi oi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    mkiambiwa kuna kivazi cha ofisi mnabisha, sasa ona ma-miss wanavyopata tabu kumziba afisa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    sasa kwa wale watafuta wake nenda kwenye umiss mnaruhusiwa kuchangua kwa wale walioshindwa tano bora !!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2010

    Jamaa! Oops, angalieni macho ya Mzee Mbonde na Rwehumbiza yalipoelekea... tehe tehe tehe tehe...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2010

    miss tmk wamejitahidi kidogo kuliko wilaya nyingne za dar,at least warembo wao wana haiba ya ulimbwende

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2010

    Duh Mzee mbonde.....hapo huwezi ona kitu labda utoe miwani..haya majina ya kina Mbonde huwa wabishi sana....
    Mdau 3rd Floor

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2010

    sina la kusema leo wadau hahahaaa,mmefurahisha siku yangu!
    jumanne 13 July 2010

    aya na wewe Kilasa tangu lini tena?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2010

    Amigooooooooooo nimekukubali mwana, bado sasa tukupe U-DC make naona baada ya kuoa au unasemaje Dolaman?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...