Guten abend mwana blogu ya jamii.
Hii ilikuwa leo kaka hapa Dortmund Germany ambapo palikuwa na festive kubwa ya European culture. Watanzania hawa waliwakilisha vyema na kuwa kivutio kikubwa. Good day!

watazamaji wakaribishwa kujiunga kucheza ngoma za kibongovibwaya na mapama vilishamiri wakati wa ngoma ya mdundiko
watazamaji wakifurahia
palikuwa hapatoshi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2010

    safi sana,,,mtu kwao
    na mwelevu hasahau kwao ata kama kazaliwa nchi ya ugeni

    ReplyDelete
  2. very wonderful indeed! wamewakilisha vyema na walipamba ipasavyo.

    ReplyDelete
  3. Waliwakilisha vyema, Konga Nyoyo!

    ReplyDelete
  4. Waliwakilisha vyema. Big up to Tzed!
    Konga nyoyo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    safi sana at least haya ndio maendeleo tunayotaka sio kuanzisha CCM ndani ya nchi za watu.
    hongera wote kwa kuwakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...