




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona chadema wamealikwa hawajaja,ndo maana nasema chama cha kweli cha upinzani bongo ni cuf,chadema siasa za chuki,wao wanadhani upinzani ni kuchukiana tu,nakumbuka kwenye mkutano wa cuf hawajaenda na walialikwa,wakati mkutano wao lipumba aliibuka kule,ndo maana watu wenye bif kama mr 2 wanakimbilia huko,michuzi ngoja uniudhi,nakuwa chadema alafu nafungua blog
ReplyDeleteWardrobe advisor wa Mama Kikwete kweli anafanya kazi yake ipasavyo. Panapostahili sifa inabidi zitolewe / zipewe (sifa).
ReplyDeleteMheshimiwa Rais Kikwete tuna imani kubwa sana na wewe. Ila chonde chonde baba uweke mawaziri watakaosidia wananchi, sio uangalie urafiki. hatukatai kujali marafiki lkn marafiki sio mafisadi.
ReplyDeletekama kuna mke wa rais Tanzania anaejua kuvaa basi na watu wakamkubali lazima atakuwa SALMA.
ReplyDeletebig up sn mama
sio advisor tu,mama mwenyewe pia ni wakisasa (mjanja)
ReplyDeleteDu kweli dua retu limepokelewa na mwenyezi mungu. mrema sasa ajuwi muelekeo wake alitufanyia kitu kibaya sana sisi watu kariakoo enzi ya utawala wake
ReplyDeleteAcheni ushabiki wa kijinga. CHADEMA kama chama huru na makini cha upinzani hakin ahaja ya kujipendekeza kwa CCM kama ilivyo kwa TLP au CUF. Kwani nani asiyejua kwamba CUF sasa ni mamluki wa CCM? TLP ndio kabisa imewekwa mfukoni mwa CCM na Mrema ndiye mamluki nambari wani. CHADEMA chama kubwa, CHADEMA chama mbadala!!!
ReplyDeleteHakuna chama kiboko wala mbadala, Chadema mmejawa Chuki na wengi wenu ni wale2 tunawajua mnajiona nyie njii hii yenu peke yenu, waapi mmeshaula wa chuya andikeni maumivu mwaka huu na magwanda yenu ya MGAMBO! Pesa kibao mnapata kutoka kwa maswahiba wenu wa CONSERVATIVE/TORY, lakini hamjachimba hata kisima cha maji japo ya chumvi watu wakatumia! huo mbadala wetu tutaounaje? Au mnataka kuja kuliza watu kama Tory? Mmebanwa mbavu hata wizi hamuwezi tena mnabaki kulalama!
ReplyDeletekwani chadema ni chama cha siasa,si ngos ile jamani.ndo maana zito na marehemu chacha walivyojaribu kumgusa share holder wa chama ikawa balaa.
ReplyDeletewe mjinga achana na CUF kabisa,nabi amekwambia wanajipendekeza kwa ccm,cuf wanajua siasa ndo maana unaona wameweza kuilazimisha serikali serikali ya mseto zanzibar.na kama hujui historia ya cuf nyamaza,maana hata hiyo sera ya ufisadi ni cuf ndo waloianzia kwenye ndege ya rais na ubalozi wa italy,ambao saa hivi bob makani mwenyekiti mstaafu wa chadema ndo anamtetea yule fisadi mahakamani.cuf kila siku sera mpya sio nyie ufisadi tu ndo point yenu,wananchi wanataka kujua paln za chama.kama chama kweli si mngepitisha mgombea urais,mnasubiri mpaka wafuzwe ccm ndo mchague.
ReplyDeleteJamani amkeni, mbona tunababaishwa na mavazi ya kijani, shoo nyingi kwa viongozi lakini hamna matendo. CCM wakati umepita au kiongozi mwingine atokee, maana Kikwete hana viongozi.Marafiki wa kumlinda, na ufisadi kwa nguvu.
ReplyDeleteWhen two opposition parties agrees to each other and pat themselves on the back, who is srewed?
ReplyDeleteUS, the citizens!
CHADEMA walikuwepo, alikuwepo makamu mwemyekiti
ReplyDeletebwana michuzi, asante kwa kazi yako nzuri na kubwa katika fani hii ya habari, tunakilasababu ya kukupongeza kwani wengi wetu tumekua fans wako katka kuhakikisha tunapata habari za nyumbani,mbali na kwamba wakati mwingine inakuwa ngumu sana kwako kuleta kila habari ya muhimu lkn tunatambua wajibu na nafasi yako katika taifa kendeleza na kukuza nyanja hii ya habari.ninaombi moja kubwa ktk hbari kama hii ikiwa unaweza kutupostia video ya hawa waheshimiwa na sisi tukawasikia kwa masikio yetu na na kujua ni barabara lipi wanalokusudia kutupitisha utakuwa umetusaidia sana mizani zetu katika kupima tanzania yetu ya leo na kesho itatupa mwelekeo kujua hatua inayofuata. ASANTE, MUNGU ibariki Tanzania.
ReplyDeleteZa leo wadau, kwa sisi tunaotegemea TBC kuangalia Kombe la Dunia, jana ilikuwa shubili, kama mkutano wa Chama ungeendelea ingekula kwetu.
ReplyDeleteMaoni yangu, mashindano makubwa kama haya yawe yanaonyeshwa kupitia TV mbalimbali, Tv nyingine za bongo mnafanya nini? Nendeni na wakati kama hamuwezi fungeni vituo.