Wakiwa na nyuso za furaha si wengini ni mdau Zubery Ibrahim na mai waifu wake Washwa Masoud baada ya kumeremeta katika msikiti wa Kichangani, Magomeni jijini Dar kufuatia na mnuso uliofanyika katika ukumbi wa Annex Magomeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2010

    Hongera sana bi Washwa umeshapata wa kukukuna. Nawatakia maisha mema ya kukukunana kwa amani na upendo wenye furaha mpaka pale mola atakapowatenganisha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2010

    mdau wa kwanza hapo juu kiboko lol! ha ha haaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2010

    lovely.
    she beautiful. and i love her nose!
    mbarikiwe!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2010

    mweeeeee..annon wa kwanza!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2010

    mashalahh mumependeza kweli, mungu aidumishe ndoa yenu, mupate na watoto wema

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2010

    @ anon Sunday July 18th, 10:55 a.m,

    Woooow.

    Mh mh mh mh! Kichuna.

    Lovely indeed.

    Quite a cutie. What a peculiar nose.

    Much Love.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2010

    Washwa na zuberi hongereni sana,japo sikuweza kuudhuria lakini salma alinipa michapo akasema harusi ilipendeza sana,ok nawatakia maisha mema ya amani na upendo.mi Emmanuely

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2010

    ZUBERI NAWASHWA!!!ankal nifahamishe vizuri kuhusu hili yaani mke anamwambia mume au ni jina???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...