Home
Unlabelled
Balozi Patrick Tsere akabidhi hati za Utambulisho kwa Rais wa Malawi Mheshimiwa Ngwazi Profesa Bingu wa Mutharika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ikulu ya Malawi ipo classic.
ReplyDeletekweli hiyo ikulu ni nzuri. utafikiri ni palace.
ReplyDeletemkuu Fungameza in za hausi.
ReplyDeleteUKIONGEA NA RAIS BASI NDO URUHUSIWE KUKAA UME-RELAX LAZIMA UKAE WIMA??? JAMANI??? SI ATAVUNJA MGONGO BALOZI WETU??? MWEEEEEEEE!!
ReplyDeleteMama Balozi umependeza na kitenge chako.
ReplyDeletejamani balozi umesomea ujeshi nini?
ReplyDeletejiachie bana?mama balozi yuko swafi
ikulu mwake sana!
mama balozi kalandana na rais wa malawi mbona?
ReplyDeleteTsere kabila gani huyu?
Hongera baloz kwa uteuzi kaza buti, nina hakika Ilala palikupa changamoto ya kutosha. Tuunganishe vema na hao majirani zetu kwani kumekuwa na biashara kubwa kati ya wananchi wa nchi hizi mbili ila kulikuwa na taarifa wkt fulani kwamba wafanyibiashara wakitz wananyanyaswa huko nadhani maadam upo eneo la tukio unaweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuona na kushughulikia kero km hizo
ReplyDeleteNamuona classmate Fungameza-UDSM 2000. Wakilisha mkuu.
ReplyDeleteMgeona wakati wa Mwl. Nyerere kina Henry Kissinger wa USA na Gromyko wa USSR walikuwa wakifika Ikulu Magogoni mkao wao ulikuwa kama wa Balozi Tsere.
ReplyDeleteMabalozi wa nchi za ulaya jasho lilikuwa linawatoka wakikutana na Mwl. Nyerere, maana ikipigwa barua kwao kuwa Balozi wao ana uwalakini basi Moscow au Washington au London lazima wa-'demote' balozi wao, ila Mwl. Nyerere akiseama 'Yes' basi ujie CV wa balozi yeyote wa kizungu itapaa kwa sana.
Mdau
Mfuatiliaji.