
Habari ya kazi wakubwa,
Ningependa kuwajulisha mashabiki wangu wote na mashabiki wa muziki wetu wa kizazi kipya kwa ujumla kwamba, Msanii CP a.k.a Cpwaa ( King of Bongocrunk) bado anaendeleza libeneke kupitia mitandao mbalimbali. Kwa sasa unaweza pata historia, maendeleo yake,nyimbo, video na picha za matukio mbalimbali kupitia tovuti yake rasmi ya:
http://www.cpwaa.co.tz/
kupitia tovuti hiyo pia unaweza kujiunga na kutembelea tovuti zake nyingine za myspace,facebook fan page,twitter,youtube na blogsite.
Vilevile fatilia maisha ya Cpwaa ya kila siku kupitia blog yake ya:
http://cpwaa.blogspot.com/
"Taking Bongoflava to the next level" Pwaaaaa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...