Wachezaji wa tumu za maveterani wa Kibangu na Northen club wa Mbezi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mtanage wao kuanza katika bonanza la maveterani hao lililofanyika Mbezi Kibanda cha mkaa ambalo lililodhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL).mpaka mwisho wa mchezo timu ya maveterani wa Kibangu ndio iliyoibuka kidedea kwa kuwatandika wapinzani wao Northern club kwa magoli 2 - 1.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hao wazee mbona wengi kama wamelewa hv au macho yangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...