MKURUGENZI WA KAMPUNI YA KIMKEV ENTERTAINMENT AMBAO NI WAANDAJI
WA MISS EASTERN ZONE),BW.KIM KIMENYA AKIONGEA NA WAREMBO PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WAKATI AKIWAKARIBISHA DINNER ALIYOWAANDALIA WAREMBO WA EASTERN ZONE KWA AJILI YA KUWAAGA KABLA YA KUJIUNGA NA KAMBI YA MISS VODACOM TANZANIA KWENYE HOTELI YA CITY STYLE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 14.08.2010.KAMBI YA MISS TANZANIA INATARAJI KUANZA TAREHE 16.08.2010MKURUGENZI WA KAMPUNI YA KIMKEV ENTERTAINMENT, BW.KIM KIMENYA AKIMKABIDHI POSHO YA KUJIKIMU MREMBO ANGELINA NDEGE.
MREMBO ANGELINA NDEGE AKIONGEA JAMBO WAKATI WA DINNER YA KUWAAGA WAREMBO WA EASTERN ZONE 2010 NDANI YA HOTELI YA CITY STYLE SINZA
CHEAZZZ
PICHA YA PAMOJA NA WAREMBO,UOGOZI WA HOTELI YA CITY STYLE NA WADAU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. jamani hao walembo kuwa pesa hadaharani hivyo vibaka wanaona. subirini kama kesho hutasikia mrembo kakabwa na kupigwa nondo

    ReplyDelete
  2. Mbona sura za mabinti wa Bagamoyo sizioni!? Ok inawezekana ni kama kawaida yetu.. ok.. Labda mimi ni mgeni wa mji huu, japo nimeishi kwa miaka zaidi ya saba. lol

    ReplyDelete
  3. Mbona hawa wako ktk pair was it a coincidence situation or planned. Hii inashawishi kila mmoja kuwa na wake

    ReplyDelete
  4. Huyo shortie mwenye pink naye mrembo?!!

    ReplyDelete
  5. mbona kina frola cwaoni anko???????????

    ReplyDelete
  6. Hao ndio mapedeshee wa Bagamoyo, wakiongozwa na Bw, Kawogo hapo, na Kimenye mwenyewe, utawapenda kwa Mabinti, si unamwona Kawoho Katumbo kanataka kuchana shati kwa matumaini ya Ulaji, yaelekea hii biashara ni nzuri sana.lol

    ReplyDelete
  7. weew kaka mwenye black loo hilo tumbo..halafu eti wanakusifia!matatizo hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...