

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I have never seen Citibank donating anything to the less priveleged, this is the first time. What came to your minds you guys?
ReplyDeleteNice move! Keep it up!
nimeguswa adi ndani ya mtima
ReplyDeletejamani citibank mbarikiwe kwa kila aliyetoa kwa ajili ya kusaidia jamii hasa hivi...
na huu moyo tungekuwa nao watanzania wote ndani na nje ya bongo,tungefika mbali kumbukeni kanuni ya utoaji ni yoyote tu anabarikiwa,,tena kutoa kwa kujichanga ivi ndiko kunafikia kabisa walengwa kuliko kupitisha sijui ofisi ya sirikali gani uko watu wanajua matumbo yao tu.
nitaanza kwa kutafuta shule/vikundi vya wasiojiweza kabisa niwe napeleka pesa uko.
safi sana