Mwenyekiti mpya wa chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) Juma Pinto (kati) akipongezwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Michael Wambura huku Mzee wa Sumo Mpoki Bukuku akishuhudia kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kinondoni jijini Dar
'Takukuru' nao walikuwepo kwenye uchaguzi mkuu wa TASWA...

Makamu Mwenyekiti mpya wa TASWA Maulidi Baraka wa Kitenge (kati) akipongezwa na wagombea wenzie aliowashinda. Shoto ni Shafii Dauda wa Clouds FM na kulia ni Tom mwana wa Chilala wa Stars TV. Kwa habari zaidi na picha kibao nennda Michuzi Post
BOFYA HAPA





Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi ya TASWA akitangaza matokeo baada ya uchaguzi mkuu wa chama hicho cha waandishi wa habari za michezo leo katika ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam Agosti 14, 2010


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Queen komanya pintoAugust 16, 2010

    congratulation pinto for ur well-won this is a big victory, we proud of you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...