Brand New ipad Wifi-3GS Never been opened.
VGA Connector, Docking Station and Original Carrying Case;
both have never been opened
Serious Buyers Only Please Call
0787-842-328
or
kokiogwe2000@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Unasema haijawahi kufunguliwa mbona iko wazi?

    ReplyDelete
  2. Kama unataka serious buyer, utaje na bei ya hicho kidude...eboo!

    ReplyDelete
  3. unauza ipad umeweka picha ya iphone.

    ReplyDelete
  4. HIYO NI IPAD AU IPOD MBONA UNATUCHANGANYA?

    ReplyDelete
  5. mbona hueleweki...unauza ipod au ipad...?.

    ReplyDelete
  6. HIYO NI IPAD AU IPOD, AU IPHONE HEBU TUFAFANULIE, MIMI NAHISI NI IPOD AU IPHONE KWANI IPAD NI KUBWA SREEN YAKE

    ReplyDelete
  7. dah! blog hii imejaa waosha vinywa! utafkiri jamii forum...!! lakini mdau kweli taja bei yake kabisa

    ReplyDelete
  8. Mdau,hiyo ni ipad au ipod?ushauri, ukiuza kitu kwenye mtandao, ufafanuzi zaidi ni muhimu,kwa mfano,bei, size(GB),vilevile unaweza kuongezea mfano- Imetengenezwa wapi,maana wachina balaa!isijekuwa Kama ya Yule mdau aliyeleta mjadala wa iPhone ya zawadi!

    ReplyDelete
  9. watu bwana,wee unatangaza biashara alafu huweki bei,ndio nini sasa, unaogopa kwa kuwa bei kubwa sana au?next ime michuzi kabla huja pblish uliza bei sh. ngapi,ndio maana hatuendelei.

    ReplyDelete
  10. JAMANI TUONDOE UBISHI HUYO JAMAA NI MZUSHI AMEKOPI PASTE IMAGE HIYO APO YA KUMI NA TISA FUNGUA LINK HIII MTAONA.....

    http://www.google.com.my/images?hl=en&um=1&ie=UTF-8&source=og&sa=N&tab=wi&biw=1366&bih=665&q=ipad%20Wifi-3GS&tbs=isch:1

    MKINIBANIA TENA NA LEO HII POST POA LAKINI NATAKA SEMA TUU KUWA WATU WASIPENDE UMIZA AKILI ZETU HAKUNA IPAD WALA NINI HIYO NI IPHONE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...