Wapendwa Leatitia (letty) na Faraja.
Tunawapa pongezi nyingi sana kwa kusherekea miaka kumi ya ndoa yenu.
leo tarehe 12/08/2010.
Tunawaombea kwa Mungu mtimize mingi zaidi.
Mungu awabariki nyote na familia yenu.Hongera Sana.

Mama Chii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MUUNGU AEENDELEE KUWAPA FURAHA MLIYONAYO!!!!

    ReplyDelete
  2. Hongera nyingi Faraja na mkeo kwa kutimiza miaka kumi ya ndoa. Mungu aendelee kuwapa Faraja, upendo na amani.

    V.L. Mughwai, your former school mate!

    ReplyDelete
  3. Hongereni,
    Miaka 10 si mchezo, inawezekana mmepita ktk smooth and rough roads na mkafanikiwa kufika hapo. Mungu awaongoza ktk mema.

    E.A.M
    Dar

    ReplyDelete
  4. Letty hongera sana kwa kutunza ndoa yako kwa miaka kumi Mungu aendelee kuwajalia ndoa yenye baraka tele na msherehekee miaka mingi ya ndoa.

    Jirani Changómbe

    ReplyDelete
  5. HONGERA my sister wangu na mai husband wako.Kila la kheri.Mungu awazidishie .

    ReplyDelete
  6. Hongera Faraja na Mkeo. Nawakilisha mlimani 95-98!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...