Home
Unlabelled
JK afungua mkutano mkuu wa Tanganyika Law Society Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu mkutano unahusu nini au hio tanganyika law society inajihusisha na nini?
ReplyDelete@ mdau wa 11:24PM. Hiyo ni jumuiya ya wanasheria wa Tanzania
ReplyDeleteNa huyo aliyevaa red leather suit naye mwanasheria? Au James Brown?
ReplyDeletemwenye suti nyekundu ni mbunge wa zamani aliyepata kuwa kwenye kundi ya G55 anaitwa Kuwayawaya Stephen Kuwayawaya. huyu bwana yeye huvaa mavazi ya rangi nyekundu every single day. sijui akienda mahakamani kama huwa anavaa nyeusi, i have to find out.
ReplyDeleteNaona wahudhuriaji ni wachache maana wanasheria wengine wameona hamna maana yakufanya haya mambo wakati wa uchaguzi huu ujanja wengi wameshauelewa.
ReplyDeletemdau wa tatu hapo juu mbavu zangu ha ha haaa, ati au james brown, ila suti nyekundu mh!
ReplyDeleteWanasheria muende na wakati. Badilisheni "Tanganyika". sasa tuko "Tanzania". Halafu muwe critical na matatizo makubwa ya Tanzania hasa corruption, poverty na nepotism (inajumuisha ukabila, udini, na vyeo kwenda familia moja). Kuendelea kuita chama chenu "Tanganyika" inaonesha mlivyopitwa na wakati. Wacheni kusikiliza hotuba za wanasiasa na kupiga makofi tu... na kusubiri labda siku mtapewa vyeo vya kuteuliwa...
ReplyDeleteInaitwa Tanganyika ikiwa na maana kwamba Zanzibar nao wana jumuiya yao. Ila kwa sasa kuna mabadiliko yatafanyika ili kuiita 'Tanzania Mainland....' badala ya 'Tanganyika...'
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Let me very specific. Huu ni mkutano wa kila mwaka wa wanasheria wote ambao tayari ni mawakili (Advocates). Msio kwenye hii tasnia hamuwezi kujua. Mwaka huu mmejua kwa sababu umefunguliwa na rais. Society hii inafanya mambo mengi sana na ina voice kubwa mbele ya serikali. Mwaka huu wa uchaguzi, society hii ni moja wa wasimamizi wa ndani (independent election monitors).Kuhusu jina Tanganyika litabadilika kuwa Tanzania Mainland kuanzia January next year wakati sheria iliyoanzisha hii association itakapo fanyiwa marekebisho.
ReplyDelete