FAMILIA ya Brigedia General, January Nyambibo inatoa shukrani kwa wote walioshiriki katika mazishi ya mpendwa wao aliyefariki Agosti 15, 2008 na kuzikwa Agosti 18 jijini Dar es Salaam.

Umetimiza miaka miwili tangu ulipotutoka unakumbukwa na watoto wako Husna, Misana, Mr & Mrs Malu Stonchi, Hamisa, Masha, Mkama, Bwire, Perus, Peter, mkeo Rukia Abdalah Kitogo na familia yote ya Nyambibo.

Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi
Bwana ametoa na bwana ametwaa.

Jina lake lihimidiwe
Amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. baba yetu tunakukumbuka sana kwa mapenzi yako na mungu akuweke mahari pema peponi ameeena

    ReplyDelete
  2. Poleni sana. mungu amlaze mahali pema peponi. pole nyingi kwa mwalimu kitogo. tuwasiliane @ younric@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. Isya omwoyo, mwiwa, ku jinhu wakorree echaro chao!

    BAP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...