Urban Pulse Creative inapenda kuwataarifu wadau wote hususani hapa Ukerewe kuwa kutakuwa na tamasha maalum la kuchangia utafiti wa Cancer UK Jumamosi hii tarehe 14.8.10 hapa hapa mjini kusoma kuanzia 19.30-22.00. Kutakuwepo na makamuzi ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwepo Mish ze fyah sis anaetamba na kibao chake cha freedom, beautiful Ordain wote kutoka Urban Pulse na Safi soundz. Msanii maalum ambae atakae kuwa headliner Ni LADY NY. Mbali na hapo pia kutakuwa na mchakato wa bahati nasibu na zawadi kemkem zitatolewa kwa washindi.
Address ni 21 Southstreet,
Reading. RG1 4QU
Kiingilio £6.00 viti vya kawaida na £12.00 kwa VIP’S
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana Nazeer Zulqarnain on 07925242050 au tembelea link katika kitabu chetu cha uso
www.facebook.com/beenazevent
Wote mnakaribishwa,
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani huyo mji unaitwa reading but unatamkwa reding na siyo riding kama ambavyo inavyowekwa hapa (mji wa kusoma)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...