JK akiagana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Begum Taj wakati balozi huyo na mwenzake Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) walipokwenda kumuaga ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.Balozi Mwanaidi Maajar aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Uingereza anakuwa balozi wa Tanzania nchini Marekani na kituo chake cha kazi kitakuwa Washington.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo aliyevaa rangi za kuita mvua nae vipi huyo?

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Balozi Taj anaonekana yuko mstaarabu sana.

    Tunakutakia safari njema Mheshimiwa Mama Balozi Taj.

    Mungu na akutangulie, na ukafanikiwe kupita matarajio yako. Amen.

    ReplyDelete
  3. JAMANI MABALOZI HAKUNA WA KUTOKA ZANZIBAR?AU NDIO HAWANA SIFA KAMA ALIVOSEMA BENARD MEMBE KWENYE BUNGE?

    ReplyDelete
  4. Mabalozi wa kutoka Zanzibar kwa sasa wako wanne. Watatu wanawakilisha nje na mmoja anongoza Idara ya mambo ya nje Zanzibar.

    ReplyDelete
  5. subirini mpate nchi yenu mtawakilisha kwa sana tuu hata huko bara watapata balozi wa kuiwakilisha zenji!!

    ReplyDelete
  6. lazima waombe nchi yao wazanzibari mana balozi wa kutoka znz ni ali karume tu? labda anaweza kuwa balozi wa arabuni mzanzibari hii ni sifa au? mbona mawaziri kibao wameghushi veti?

    ReplyDelete
  7. Mbona 'kwenye 'nchi takatifu' wanaenda akina mama!!


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...