Home
Unlabelled
kwaherini na kazi njema....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo aliyevaa rangi za kuita mvua nae vipi huyo?
ReplyDeleteMheshimiwa Balozi Taj anaonekana yuko mstaarabu sana.
ReplyDeleteTunakutakia safari njema Mheshimiwa Mama Balozi Taj.
Mungu na akutangulie, na ukafanikiwe kupita matarajio yako. Amen.
JAMANI MABALOZI HAKUNA WA KUTOKA ZANZIBAR?AU NDIO HAWANA SIFA KAMA ALIVOSEMA BENARD MEMBE KWENYE BUNGE?
ReplyDeleteMabalozi wa kutoka Zanzibar kwa sasa wako wanne. Watatu wanawakilisha nje na mmoja anongoza Idara ya mambo ya nje Zanzibar.
ReplyDeletesubirini mpate nchi yenu mtawakilisha kwa sana tuu hata huko bara watapata balozi wa kuiwakilisha zenji!!
ReplyDeletelazima waombe nchi yao wazanzibari mana balozi wa kutoka znz ni ali karume tu? labda anaweza kuwa balozi wa arabuni mzanzibari hii ni sifa au? mbona mawaziri kibao wameghushi veti?
ReplyDeleteMbona 'kwenye 'nchi takatifu' wanaenda akina mama!!
ReplyDeleteNkyabo - Bongo