Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,Mh. Messi Sila akihutubia wananchi waliofika katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika wilaya hiyo hivi karibuni.
kikundi cha ngoma cha moto moto kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika katika kiwanja cha Polisi kati jijini Arusha hivi karibuni.

(picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii- Arusha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...